Recent content by mr_penguin

  1. M

    Nasaga na kuuza mafuta ya soya

    Nasaga soya mbegu kuwa soya mafuta bei maelewano.Kama unahitaji kusagiwa lakini kama unahitaji iliyotayali inapatikana bei kilo 1 @1,500/=tu.locatio (mbagala chamazi) karibuni. kwa mawasiliano zaidi 0684558213 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Nahitaji mahindi ya zamani, nipo Dar es Salaam

    Nahitaji mahindi Uzito wa moisture usiozidi 13 Ya zamani ya unga sembe tan hata 100 Bei iwe 680 Hadi 700. Napatikana Dar es Salaam kwa mawasiliano zaidi 0684558213
  3. M

    Bidhaa Ya Kubana Uke

    NAMNA KUKOMESHA UKE ULIOLEGEA AU KUTEPWETA 1.Chukua nusu kijiko cha chai cha mango seed powder kisha changanya na maji kiduchu iwe rojo kisha chota rojo hiyo kwenye kidole kisha pakaa ndani ya uke. FAIDA ZINGINE: 1.Kupunguza uke na kuwa mdogo 2.kuongeza ute na joto katika uke 3.kukomesha...
  4. M

    Nauza mashine ya kusaga nafaka kwa bei yakutupa

    Nauza mashine za kusaga nafaka na kukoboa zipo 3 na zina vibali vyote nimetumia kwa muda wa miezi 7 hazina tatizo lolote.napia ntakupatia na offer ya mashine ya kufunga mifuko.kwa pamoja nahitaji milioni 16...napatikana kigamboni kama unahitaji nipigie 0786049840....nna document zote Sent using...
  5. M

    Inahitajika tecno j8

    Check me 0716385824
  6. M

    Tecno spark k7

    Ukija ndo utaelewa vizuri ntakupaka mafuta kabisa wala usijari na tecno utaondoka nayo kiulaini
  7. M

    Tecno spark k7

    Poa panda basi uje uchukue mali ya mwanaume kwa punguzo la bei
  8. M

    Tecno spark k7

    Kanunue kitochi umpigie mama ako akuongezee hela ya kununulia smartphone
  9. M

    Tecno spark k7

    Haina tatizo lolote simu bado mpya
  10. M

    Tecno spark k7

    Ipo mkuu nipo posta city center mkuu
  11. M

    Tecno spark k7

    Nauza tecno k7 ram 1gb storage 16gb finger print supported back camera 13mpx front camera 5mpx flash mbele na nyuma kazi kwako bei 170,000....kama upo serious nichek 0716385824..napatikana dar
  12. M

    Hivi naweza soma masters ya business administration kwa G.P.A ya 2.7

    Mkuu sina nia ya kujiajiri sababu siwezi mwita mtanzania mwenzangu boss....najiongeza kwa ajiri ya shughuli zangu exportation na kuuza simu za mtumba ni hivyo tuu
  13. M

    Hivi naweza soma masters ya business administration kwa G.P.A ya 2.7

    Mm hiyo ni lower second mkuu....foundation ni wenye pass
  14. M

    Hivi naweza soma masters ya business administration kwa G.P.A ya 2.7

    Asante mkuu umemaliza kila kitu shukrani sana
  15. M

    Hivi naweza soma masters ya business administration kwa G.P.A ya 2.7

    Kwenda zako ndo ushindwe kujua 2.7 ni lower second au pass....afu kwanza nenda kijiweni kapige story za kahawa nikichek post zako tu ni za udaku udaku...usijisumbue hata kuongeza dhambi ya uwongo
Back
Top Bottom