Hivi naweza soma masters ya business administration kwa G.P.A ya 2.7

Ha ha ha ndivyo ilivyo mkuu, ila nimejifunza katika maisha ya chuo jitahidi kujuana na watu wengi wenye michongo na ramani hutateseka ukimaliza chuo ila kwa wale ma John visomo asipoupata u lecturer basi lazma waje kutubu street!
MI KUNA WATU NAFANYA NAO KAZI HAPA ILA BACK GROUND ZAO MTU MWALIMU ILA ANA FANYA KAZI YA CLERLARING AND FORWADING MAMBO YA PROCUREMENT AND SUPLLY ELIMU YA BONGO BHANA ULICHOSOMA SIO UTAKACHOENDA KUFANYIA KAZI
 
Ha ha ha ndivyo ilivyo mkuu, ila nimejifunza katika maisha ya chuo jitahidi kujuana na watu wengi wenye michongo na ramani hutateseka ukimaliza chuo ila kwa wale ma John visomo asipoupata u lecturer basi lazma waje kutubu street!
HAHHAHAHA KWELI MZEE BABA
 
Anza na foundation course. Kuna jamaa niliwahi wasikia kuna gentleman GPA sijuagi ndio ya ngapi hiyo
 
Habari zenu watanzania nilikua nauliza kama naweza soma masters of business administration kwa G.P.A ya 2.7 kwa mwaka wa masomo 2018/2019...kama mnafahamu tafadhari naombeni mnijuze
Uhakika wa kupata chuo upo kwa vigezo vya sasa hivi but mwisho wa siku ukimaliza hiyo masters yako hiko cheti kitakuwa kama pambo tu maana ukitaka kuajiriwa kwa cheti cha master qualifications ya kwanza lazima uwe na GPA ya 3.8 kwa ngazi ya bachelor, hope hapo umenipata vzur
 
Mkuu sina nia ya kujiajiri sababu siwezi mwita mtanzania mwenzangu boss....najiongeza kwa ajiri ya shughuli zangu exportation na kuuza simu za mtumba ni hivyo tuu
 
Habari zenu watanzania nilikua nauliza kama naweza soma masters of business administration kwa G.P.A ya 2.7 kwa mwaka wa masomo 2018/2019...kama mnafahamu tafadhari naombeni mnijuze
bila shaka lakini utakamatwa sana....
 
Huwez soma usijisumbuwe mkuu.
Labda ukasome Post graduet Diploma ndipo Usome Masters.

Hili linatokana na Uongoz wa Awamu hii kuweka vigezo vipya vya Udahili kwa kila ngazi ya Elimu.

E.g. ukipata G.P.A 2.7 ya DIPLOMA huwez soma Bachelor.
Ukipata G.P.A 2.7 ya Bachelor huwez Soma Masters
Nafkir nimeeleweka...
acha kudanganya watu wewe mdada mimi nimesoma masters udsm na watu wana gpa za 2.4 wenye experinxe kubwa kazini na fresh wenye gpa ya 2.7 kibao afu wewe utakuwa umesoma udsm undergraduate coz undergraduaate wa udsm ndio huwa wanab tabia hii kama yako very disappointing msaidie mtu siounajibu wakati haujui chochote
 
2.7 anasoma masters ya Udsm mujaarab kabisa kama degree yake kaipatia Udsm, hao wengine wa machakarabotini mpaka awe na 3.5 sijui nimeeleweka?
Ina maana udsm kupokea gpa ya 2.7 nacho ni chuo cha kizembe zembe? Alafu kuna profesa alisema wanatoa degree za chupi ivi sakata lake liliishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom