Recent content by MR ZOO

  1. M

    PreGE2025 Ujumbe mfupi na wa wazi kwa Rais Samia

    Kama Ask Gwajima ametenda kosa lolote kisheria mpelekeni mahakamani na sio kuja kufunga kanisa hilo hqliwezekani waondoe hao mbwa wako hapo kanisani.Kwa hili halitawezekana
  2. M

    Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

    Ni kweli hao askari wataua watu zaidi ya elgu 1?Kwa nn watqnzania kila jambo tunaona halituhusu?Umoja wa makanisa CCT wanatakiwa kuitisha kikao cha dharula na kutoa tamko na kukataa huu ujinga wa seeikali hii kidictator
  3. M

    Polisi wazingira Kanisa la Gwajima la ‘Ufufuo na Uzima’ usiku. Wananchi wajazana eneo la tukio, wagoma kuondoka!

    Kuna neno kufungia na kuzuia shughuli zote za kidini ndqni ya eneo hilo?Kufungia najua kuna hatua kadha wakadha zinatakiwa kufatwa sio kwa dharula kiasi hicho jiomi unawapa barua usiku polisi wqnaenda kuweka utepe waoNadhani hawa punda wa ccm watqtufikisha ambako siko.Zuio la kusanyiko hakuna...
  4. M

    Dharau kwa mkoa wa Singida zinaenda kuisha kufuatia dalili za kugundulika kwa mafuta

    ugunduzi wowote kwa nchi zetu za kiafrika ni laana na sio neema hasa nchi amabzo ufisadi na wizi imekuwa sifa kwa wanasiasa,sehemu nyingi hata tanzania hii hii ,nenda nyamongo,kahama,shinyanga nini wananchi wanapata kama sio kansa kufukuzwa kwenye maeneo yao kwa fidia kidogo huku viongozi wa...
  5. M

    KWELI Makamu wa Rais akishika nafasi ya Rais kwa muda wa miaka 3 au zaidi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu

    Hizi faact ulizoweka hapa kutoka kwenye katiba ndo dira bahati mbaya Sofia Mgema sijui ndo kulewa madaraka amaekuwa kama mlopokaji tangu amaeingia kwenye uaenezi hana mchango ambao ni chanya kwa chama ,ikumbukwe karibuni alitoa kauli ya bandari haijauzwa kwa maana haijawekwa kwenye kikapu au...
  6. M

    RC Mbeya asitisha Posho kwa Watumishi wote wa Halmashauri

    Kama nani?katibu mkuu utumishi au nani sasa ?hizo posho ni hisani au zipo kisheria na huyo RC ametoa wapi mamlaka makubwa hivyo ya kuondoa posho za watumishi
  7. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kati ya mawaziri nishati na wakurungezi wa tanesco shindig hata wajiga wanajua ni Makamba na Maharage wake.Tena wafie mbali sio kwa mateso haya mliosababisha kwa watanzania. Mlikuja na hoja wakati JPM kulikuwa hakuna serives kumbe saga tu nyambafuuuuu.Kaongeze bei huko TTCl simu sio lazima hasa...
  8. M

    The country is heading to the wrong direction

    maana yake unaona sawa au unamanisha nn?kiukweli heri tungelikosa umeme kwa sababu zinazoeleweka await Janaury alivyoingia alidai mitambo haina service wakafanya service,tatizo likabaki palepale,wakaja na hoja nyingine hadi rais aka sema tunakosa umeme kwa sababu ya ukaidi wa wanadamu maana yake...
  9. M

    Kituo cha Polisi Kitunda Mkoani Tabora kimechomwa moto na wananchi wenye hasira

    Pale kuna machimbo ya dhahabu,kwa hali ilivyo kule polisi nadhani walikuwa wanaendeleza ule uhuni wao wakutaka mali za watu kwa nguvu.Yale ya mtwara na siku zote hata upeleke taarifa kwa nani hakuna msaada.Anyway tusubiri uchunguzi wao hao hao ambao nadhani ndo change cha tatizo
  10. M

    Kati ya Watanzania Milioni 64, Maprofesa ni 226 tu. Baba wa Taifa ndiyo wa kubeba hii aibu

    Hiyo oroodha wamo kina Profesa Mruma,Ndarichako,Mkumbo na wengine wa type zao?kumbe bado tatizo ni kubwa
  11. M

    Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi lateketea kwa moto

    HILI SUALA SIO LA WALE WENGINE WALA NINI KUNA SHIDA MAHALA FULANI .KUNA HUJUMA NA UHARIFU UNAENDELEA CHINI KWA CHINI
  12. M

    Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi lateketea kwa moto

    NAELEWA SERIKALI INAENDELEA KUFANYIA KAZI JAMBO HILI MAANA SIO MARA MOJA AU MBILI LAKINI TAARIFA KWA UMMA NI ZA MSINGI HASA ZILE ZA TAHADHARI .
  13. M

    GE2020 Kufa kwa Sekta Binafsi na Makampuni ya Ujenzi ya ndani ndio kunanifanya nimpe kura Lissu

    pia kumbuka makampuni mengi yalikuwa feki na hata kazi zilizokuwa zinafanywa zilikuwa chini ya kiwango sana na value for money haikuwepo .Temea uone hata miradi ya maji nchi hii mingi pesa zilipigwa na wakandarasi wetu wakishirikiana na viongozi wezi ndani ya serikali.Ijapo kiukweli pesa nyingi...
  14. M

    GE2020 Tundu Lissu na Dkt. Magufuli wajiandae kisaikolojia, lolote linaweza kutokea

    mchambuzi umejaribu kueleza mtazamo wako juu ya siasa .Huku ukitoa maoni linganisha kati ya Lowasa na Lissu.Ila ukweli unabaki pale pale kuwa mzee lowasa alikuwa na mipango sema alizidiwa na mamlaka kwa kuhujumiwa na sioni aibu kusema kuwa hata kura alizozipata Lowasa sidhani kama Tundu...
  15. M

    GE2020 Tuache Ujinga, Tanzania sio Uingereza

    ulianza vizuri nikadhani una point na mapendekezo yenye tija kumbee unaturudisha kule kule.
Back
Top Bottom