Recent content by Mr Zombie

  1. Mr Zombie

    Ajira yoyote natafuta...Ili mradi iwe ya halali

    Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo dar ubungo natafta ajira yoyote ambayo itakuwa inaniingizia kipato kwa siku......ili kukidhi mahtaji yangu na familia yangu... Elimu yangu ni kidato cha sita arts combination(HGK)..... Mwenye uwezo wa kunisaidia ajira contact no 0657373635
  2. Mr Zombie

    Upendo ni hisia au chaguo?

    Hivi wakuu mnafikiri kuwa upendo ni HISIA au CHAGUO? Kuwa makini katika kujibu nimeongelea upendo na sio mapenzi. Its zombie intelligent
  3. Mr Zombie

    Mythology: Mjue Malaika Azrael(Malaika mtoa roho)

    We jamaaa nakuonea huruma sana ukifa sijui utaenda wapi maana unaongea vitu havieleweki na ni ujinga mtupu
  4. Mr Zombie

    Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

    Sasa je kama umepangiwa kufa kabla hujaoaaaa...kitatokea nn???
  5. Mr Zombie

    Ombi la kazi yeyote ile, Elimu yangu ni kidato cha sita tahasusi ya HGK

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Mr Zombie

    Ombi la kazi yeyote ile, Elimu yangu ni kidato cha sita tahasusi ya HGK

    Mzee sio muda wa kulaumiana au kusemana
  7. Mr Zombie

    Ombi la kazi yeyote ile, Elimu yangu ni kidato cha sita tahasusi ya HGK

    Swez weka mkuu naelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Mr Zombie

    Ombi la kazi yeyote ile, Elimu yangu ni kidato cha sita tahasusi ya HGK

    Sijadisco mzee nitafte whatsapp nikuoneshe aris yangu
  9. Mr Zombie

    Ombi la kazi yeyote ile, Elimu yangu ni kidato cha sita tahasusi ya HGK

    Kwa majina naitwa David mathew kanisius. Elimu yangu ni kidato cha sita tahasusi ya HGK. Mwaka huu ilibidi niwe namaliza katika chuo kikuu cha Dar es salaam ila nmeshindwa kuendelea kwa sababu ya financial problems so nimesimama masomo kwa muda na natafuta kazi yeyote itayoniingizia kipato ili...
Back
Top Bottom