Ombi la kazi yeyote ile, Elimu yangu ni kidato cha sita tahasusi ya HGK

Mr Zombie

Member
Jan 26, 2022
83
44
Kwa majina naitwa David mathew kanisius. Elimu yangu ni kidato cha sita tahasusi ya HGK.

Mwaka huu ilibidi niwe namaliza katika chuo kikuu cha Dar es salaam ila nmeshindwa kuendelea kwa sababu ya financial problems so nimesimama masomo kwa muda na natafuta kazi yeyote itayoniingizia kipato ili kukidhi mahitaji yangu.

Kwa yeyote atakaejaaliwa kazi nipo tyr namba yangu ya simu ni 0684846544
 
Kama Kaz yeyote ukozi aise Kaz zipo nyingi zozote zile Kam barman . gardens, tarura na kwa wachina wa kujenga Barbara Hapo ukozi pia kibarua.

Ila taaluma yeyote upati kiurasi Kazi.

Hvyo jaribu tafuta mtu wa tarura akupe kimashine ukaakte Kodi ya maegesho huku ujaaribu kutafuta alternative
 
Kama Kaz yeyote ukozi aise Kaz zipo nyingi zozote zile Kam barman . gardens, tarura na kwa wachina wa kujenga Barbara Hapo ukozi pia kibarua
Ila taaluma yeyote upati kiurasi Kaz
Hvyo jaribu tafuta mtu wa tarura akupe kimashine ukaakte Kodi ya maegesho huku ujaaribu kutafuta alternative
Sawa mkuu
 
Kijana huja disco kweli
Hiyo hapo evidence
Screenshot_20220318-121109.jpg
 
Kama Kaz yeyote ukozi aise Kaz zipo nyingi zozote zile Kam barman . gardens, tarura na kwa wachina wa kujenga Barbara Hapo ukozi pia kibarua.

Ila taaluma yeyote upati kiurasi Kazi.

Hvyo jaribu tafuta mtu wa tarura akupe kimashine ukaakte Kodi ya maegesho huku ujaaribu kutafuta alternative
Mwandiko wako unatia kinyaa!!!!...... samahani lakini mkuu au basi
 
Kama Kaz yeyote ukozi aise Kaz zipo nyingi zozote zile Kam barman . gardens, tarura na kwa wachina wa kujenga Barbara Hapo ukozi pia kibarua.

Ila taaluma yeyote upati kiurasi Kazi.

Hvyo jaribu tafuta mtu wa tarura akupe kimashine ukaakte Kodi ya maegesho huku ujaaribu kutafuta alternative
Mdeni wako amekulipa??pia jifunze kuandika vizuri sio unapuyanga tu khaaaa
 
Back
Top Bottom