Mimi kwakweli hotuba za mkuu wangu saivi naanza kuzichukulia poa .maana ukiangali wakati mwingine anaongea mambo kama vile utani hivi wakati ni tegemeo la mwelekeo wa nchi.
Mange ni taasisi kwa sasa.wako watu wengi wanatoa habari kupitia huyo dada.na kwakweli kama unavyo jua ukweli unanguvu kuliko uongo.sasa usishangae hiyo nguvu iliyopo kwa huyo mange.ila ningeshauri kama kunajambo ambalo mange kasema na ni uongo au ukweli basi liweke hapa kwenye forum ili...
Haujapata dem hapo.hao ni mabinti rahisi rahisi mtaani.tena wengi hua hawana wanaume kwa muda sana ,na nikwasababu akili zao sio poa ,hawajui neno gani la kuongea kwa mwanaume.tena nenda kitandani ndio utaona alivyo hovyo.kitu cha mwisho hawafai kuoa hao.
Sasa kama mnawashangaa wazungu kua wengi na kujiona waswahili wachache wanaakili sana sasa mbona ,waswahili wameshindwa kuyachimba hayo madini.wenzetu ili kuongeza ufanisi kila kitengo kina mtu wake.hapa bongo vitengo vitatu hadi tano ni mtu mmoja. Ndio maana hatupati mawazo mazuri ya mambo na...
Hili tukio ni assassination.sasa nashangaa unapo ulizia mwenye nyumba wakati kuna mafuliko.hivi kukitokea mafuliko mwenye nyumba atamwachia kijana wake ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.