Recent content by mr vata

  1. mr vata

    Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

    Afu eti anaenda kumtambulisha kwao kuwa mimba ni yake wakti haujui hata historia ya mimba yenyewe, akizaa mchina je ataambia nini wazazi
  2. mr vata

    Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

    Pole sana, tunakuombea
  3. mr vata

    Ifakara vs Kasulu Mji gani umechangamka na unafaa Kuishi?

    Ukakae chaka na hauna hela, wazungu wanakaa mahali popote kwa sbb wanakuja na pesa maana hata kilimo kama huna pesa hutokiweza
  4. mr vata

    Zijuwe koo za Simba

    Hii kitu kwetu ipo Iko hivi... Nikiwa mdogo baba yangu (alikua mwl) alihama na sisi kutoka sehemu alipokua anafanya kazi na kumfuata baba yake (babu) katika wilaya nyingine. Lengo la kumfuata lilikua ni kumuhudumia kutokana na uzee wa baba yake. Lakini pia inasemekana kuwa yule babu alishasema...
  5. mr vata

    Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

    Ukijifunga mkanda unaweza tu. Hesabu hiyo ya week ni sawa na elfu 20 kwa siku ambapo ni hesabu ya kawaida
  6. mr vata

    Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

    Hesabu ya bajaj kwa siku bila mkataba ni tsh elfu 20 kwa siku na wwtu wanafanya hivyo miaka na miaka. Iweje ushindwe kuvumilia miaka 2 halafu bajaj iwe yako?
  7. mr vata

    Uhusiano usio na dosari.

    Ni kweli, lkn ni lazima uwe na matarajio yako kwa yule ambae ungependa awe wako. Suala la uhusiano kuharibika hilo ni suala jingine
  8. mr vata

    Uhusiano usio na dosari.

    Mkuu watu wapo sema inaonekana kuwa hauna bahati
  9. mr vata

    Uhusiano usio na dosari.

    Sio kwamba nataka uhusiano usio na dosari, nafahamu kuwa hilo haliwezekani. Nataka mtu ninayeweza kumuamini na ambaye hatakua akinidanganya kimwili au kihisia. Kila mtu anahitaji mtu ambaye anampenda kabisa na ambaye hatacheza mchezo na moyo wake. Mwisho kabisa, mimi ni muumini thabiti kwamba...
  10. mr vata

    Ninajivunia wewe uliyeweza kusimama imara baada ya kupewa mimba na kutelekezwa na mtu uliyempenda

    Ninawaheshimu sana wanawake waliopewa mimba na mtu waliempenda na kwa bahati mbaya wakaachwa na baba wa mtoto huyo. Ninawaheshimu sana wanawake hawa kwa sababu ni mtu mwenye akili timamu tu ndiye angeweza kusimama tena baada ya kuachwa na mtu ambaye alimuamini. Ikiwa hakuna mtu ambaye...
  11. mr vata

    Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

    Kwa mwanaume ukishapita miaka 30 hakikisha ( kama una muda) uwe na ratiba ya mazoezi kila siku. Na kama muda ni mchache basi angalau mara moja kwa week. Katika ratiba yako sijaona hilo
  12. mr vata

    Ulazima wa kulala kitanda kimoja mme na mke sijawahi kuulewa!

    Mwili mmoja kiimani tu lkn kiuhalisia ni miili miwili tofauti ndio maana mume anaweza kuwa namtumbo na mke yupo ushirombo
  13. mr vata

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hiyo simu aliyompa Asmah atakua amei track
  14. mr vata

    Nimetangaza Rasmi vita na Wanaume wote Tanzania

    Ulimpa kila kitu?[emoji108]
  15. mr vata

    Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Mimi niliota hivi; Nipo na boss wangu, yeye anaendesha baiskeli (kwa mwendo mdogo) na mimi natembea nyuma ya hiyo baiskeli ni kama tunaonge hivi lkn yeye yupo mbele anaendesha n mimi natembea. Kuna mahali tulifika kuna daraja linapita juu ya mto, yule boss wangu akiwa anaendesha baiskeli yake...
Back
Top Bottom