Recent content by Mr.Tm

  1. M

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya Kaloleni Arusha kupitia CHADEMA ajiuzulu udiwani

    Mi nashangaa,eti tumekaririshwa tu wananunuliwa nasi tumekalia ivoivo,mwisho wasiku tutashuhudia wote wanaisha
  2. M

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya Kaloleni Arusha kupitia CHADEMA ajiuzulu udiwani

    Mwisho wa siku wataisha wote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Paul Makonda baada ya Rais Magufuli kudai ni mfano wa kuigwa

    Utadai hadi lini?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Walioacha kazi au kuachishwa

    Vipi kuhusu kilimo mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Walioacha kazi au kuachishwa

    Vipi kuhusu kilimo mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ajira

    Mimi ni kijana wa kiume,Nina umri wa miaka 29,napatikana mkoani Ruvuma.Nina elimu ys Stashahada ya Matumizi ya zana katika kilimo (Diploma in Agromechanization),nimejihusisha na Project mbalimbali za kilimo na nimefundisha Chuo cha kilimo. Mwenye fursa yeyote naomba anifahamishe. Shukurani kwenu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la ubunge EALA, CHADEMA imefanikiwa kuiweka CCM mfukoni. Kazeni uzi huohuo

    Kibatala ndo mwanamke au
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la ubunge EALA, CHADEMA imefanikiwa kuiweka CCM mfukoni. Kazeni uzi huohuo

    Inamaana Kibatala ni mwanamke au
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa kazi tafadhali

    Ndugu zangu wanaJF, Napenda kutumia fursa hii kuleta kwenu Ombi langu la kunipa/kuniwezesha kupata kazi, Iwe kwa mtu binafsi au Kampuni/Shirika/Taasisi anaye au inayo jihusisha na kilimo au usambazaji wa Zana za kilimo mahali popote. Nimehitimu Stashahada ya Zana za Kilimo (Diploma in...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali Kampuni za KILIMO

    Kwa anayejua Kampuni yoyote inayo jishughulisha na KILIMO Mkoa wa Ruvuma,Mtwara,Iringa au Mbeya Anitajie tafadhali ikiwezekana na mawasiliano yao.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Agronomist wanahitajika(7 posts)

    Tupo wengi ila nnje ya maeneo yaliyo tajwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vipi hali ya Jimbo lako, upepo unavumaje?tupeane updates!

    Jimbo la Nyasa Mkoani Ruvuma, hali tete kwa CCM, Eng.Stella Manyanya anapumulia mipira hali ni mbaya kweli.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Stashahada ya "Matumizi ya Zana katika Kilimo".

    Ndugu zangu wana JF, Mimi nimehitimu Stashahada ya MATUMIZI YA ZANA KATIKA KILIMO (AGRO-MECHANIZATION) toka Chuo cha Kilimo, na bado sijaajiriwa. Kwaiyo naombeni msaada wenu ili niweze kufanikiwa ktk swala zima la ajira.
Back
Top Bottom