Agronomist wanahitajika(7 posts)

Dundo_Boy

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,458
2,465
Habarini!, kuna mahali nimeambiwa nisaidie kupata agronomist ambao wanapatikana ktk maeneo ya Singida, Shinyanga ama Bunda Mara.
Qualifications: certificate/diploma/"degree" in agronomy/agribusiness.
Caution: mm binafsi nmejaribu ku bargain nao lakini nmeshndwa, hivyo kuleta nafasi kwa wale wahitaji.
  • Salary ni laki 3 kwa mwezi (kwa miezi mitatu ya awali), baada ya hapo mtazungumza upya
  • ukienda field na ukarudi siku hiyohiyo, utapewa elfu 5
  • ukienda field na ukalala huko huko utapewa elfu 10
kampuni haina mda mrefu tangu ianze na ni ya wahindi makao makuu arusha. Kwa anayehitaji naomba atanitafuta 0627457723/0688459988 madundomadundo@gmail.com
Nitawaunganisha then mtaanza ku bargain wewe na hao watu mm sitakuwepo, kumbuka watu wakaao shinyanga, singida, bunda hata kahama endapo atapenda.
Nimeweka maelezo mengi nikitaraji kutokupewa maneno ya kejeli maana sio mm mhusika. Hawa watu hawana interview yaani ukifika siku hiyohiyo unaanza kazi, mm binafsi nmeshindwa na wameniomba niwasaidie kuwapata hao watu 7. Kigezo cha elimu nimekiweka mm, wa degree siwashauri waje ama sivyo kama hawana kabisa mahala pa kujishikiza. Karibuni!
 
Back
Top Bottom