Natafuta kazi nina Stashahada ya "Matumizi ya Zana katika Kilimo".

Mr.Tm

Member
Sep 20, 2015
13
9
Ndugu zangu wana JF,
Mimi nimehitimu Stashahada ya MATUMIZI YA ZANA KATIKA KILIMO (AGRO-MECHANIZATION) toka Chuo cha Kilimo, na bado sijaajiriwa.
Kwaiyo naombeni msaada wenu ili niweze kufanikiwa ktk swala zima la ajira.
 
Nchi haiwezi kuendela kama watu muhimu kama wewe unataka kazi za kuajiriwa tena ukae ofisini,cha msingi ni kwamba nunua panga,jembe,rato,kwanja na anza kuandaa shamba huu ndio msimu wa maandalizi ya shamba,kama una diploma ya kutumia zana za kilimo unataka uajiriwe ofisini,unataka nani aende shamba? AU unataka TWAWEZA waende shamba na kuja na utafiti usiokamilika? kama huna pesa ya kununulia zana za kilimo itisha harambee na mimi nitakuwa mmoja kato ia wachangiaji,sitaki kipaji na elimu yako ipotee kwenye ajira za ofisini. Ni ushauri tu!!

Ndugu zangu wana JF,
Mimi nimehitimu Stashahada ya MATUMIZI YA ZANA KATIKA KILIMO (AGRO-MECHANIZATION) toka Chuo cha Kilimo, na bado sijaajiriwa.
Kwaiyo naombeni msaada wenu ili niweze kufanikiwa ktk swala zima la ajira.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom