Recent content by Mr Timer

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tupambanne na propaganda, tueneze elimu ya ukombozi!

    Chadema udini utatupeleka pabaya jamaa mmoja aliye jiita mchungaji francis alikua akihubili neno la MUNGU juzi mtaani kwetu huku akiwa amevaa magwanda ya chadema.Hivi kweli hii inaleta picha gani? kwa watu watu wa dini nyengine nilazima tufikilie tunakwenda wapi? na kwa muda gani,tatizo tunaona...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwingine BAVICHA ajiunga na CCM

    Haya tumesikia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwingine BAVICHA ajiunga na CCM

    Ww kwaakili yako inavyokutuma ni kiongozi gan? ambae hajali maslahi ya familia yake akaangalia maslai ya mtanzania.ET AENDE KWA WACHUMIA TUMBO WENZIE acheni ushabiki wa vyama nyinyi haohao mnaowashabikia lao moja mwanasiasa mwanasiasa 2 tuache imani potofu vijana hakuna atakae badilisha maisha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, UDOM ni chuo KIKUBWA na si CHUO KIKUU

    Ushauri utolewe sio kulaumu 2 nn kifanyike? nan awajibishwe? kwenye taasisi hizi kiserikali maana wengi wao wanajifanya miungu watu nakusahau kua cheo ni dhamana 2
  5. M

    JamiiForums Tanzania Anadai bado aninipenda

    Achana nae hana maana kwako huyo ni muuaji
Back
Top Bottom