Recent content by Mr teacher

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uliza software yeyote hapa

    Wakuu noambeni software ya SD DATA TOOL
  2. M

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Aisee natumia patche za micano 4u mkuu, Hivi patch za micano 4u hazina namna ya kuweka real trophies? na vipi kama nikiweka na hizi smokepatch ili kupata hizi real trophies?
  3. M

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Shukrani mkuu ngoja nijaribu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Msaada jinsi ya kuweka real trophies kwenye pes 2017... yaani Epl, world cup na Makombe mengine yawe real. Nimehangaika sana wakuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kesho ndio tunaenda kuufahamu unafiki wa baadhi ya watanzania

    Unajua haya mambo haya... Eti uzalendo ni kuamini kuwa Taifa stars ya Ally Sonso inakwenda kuifunga Senegal ya akina Sadio Mane, Kalidou Koulibaly Binafsi natamani timu ya taifa langu ishinde, lakini sioni hilo likitokea.... Tunakwenda kupigwa mpaka tuchakae leo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Msaada: laptop yangu ina specifications hizi; RAM 4GB, HDD 500GB, core i5 third generation... Naomba kufaham kama naweza kucheza pes 2018 vizur bila kustack?
  7. M

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Hivi huo ukubwa wa Gpu ndio unauangalizia wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye wimbo wa marijani rajabu, mwanameka... Msaada plz Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna huu wimbo "maharage yako jikoni nimeshayapika nasubiri sukari ya bwana haijafka" sikumbuki Jina wakuu nakumbuka hiko kipande tu. Msaada wakuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    requirements zingine zote niko Safi... Kasoro RAM. Mashine yangu RAM 4GB
  11. M

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Mkuu mwenye fifa 19 naomba specifications za PC yako tafadhali
  12. M

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Ni hizi USB gamepad natumia kwenye laptop. ila zimeandikwa dual shock USB controller
  13. M

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Ndio mkuu ina motor... nimejaribu sana kuangalia tutorials you tube ila sijafanikisha
  14. M

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Wakuu msaada kufanyia setting pad vibration, nimehangaika sana you tube bila mafanikio. Pad zangu ni dual shock natumia kwenye pc
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna jamaa anaimba "Nimemfukuza mpenzi wangu eti kwasababu ya binti, nimemfukuza wangu moyo eti kwasababu ya binti.." msaada iyo ngoma wakuu
Back
Top Bottom