Naunga mkono wazo la kuondoa wanafunz walio vyuoni but hawana sifa stahiki, ila angalizo, kuna watu humu wanachangia kiushabiki bila kuangalia uzito wa hoja wanazotoa, kama mtu ameelimika kweli atachangia kwa hoja na si ushabiki.
1. Prof. Ndalichako anaposema wasio na sifa, au kama anamaanisha...
Ni kirefu cha Recognition of Prior Learning. Ni mfumo uliokuja badala ya Mature Age Entry Examination. Mfumo huu unataka mtu mwenye ujuzi Fulani na uzoefu lakini hana sifa za moja kwa moja kuingia university, let say kwa sasa mtu mwenye Diploma na GPA ya chini ya 3.5 then unafanya huo !mtihani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.