Recent content by Mr specelist

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kama mkewe ni muhimu kuzidi umma basi aachie ngazi akaongoze familia yake

    Hana hoja huyo roho inamuuma wenzake kushangiliwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shangwe laibuka baada ya Padri Kitima kutambulisha wanasiasa na viongozi wastaafu kwenye msiba wa Kardinali Pengo

    We chawa kila kitu unaumia kenge wewe 🖕🖕
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Liverpool Manchester united na ipi timu kubwa yenye pesa na makombe mengi

    Nyumbu kama kawa hao liver kuku wanatuzid uefa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unabii: Mkiyaona haya, basi inueni vichwa na kumtukuza Mungu

    Daah nyuzi humu nyingi sa hz ni za kimafumbo mafumbo tu,,alafu hamna hata moja ninayo chomoa😭
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lamine Yamal akabidhiwa Jezi Namba 10 asema "Messi ametengeneza njia yake, mimi nitaitengeneza yangu"

    Jamaa mbona povu sana dogo anasemwa yeye unaumia wewe ,,wee kweli ni mwanaume au ndo kuna namna
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lamine Yamal akabidhiwa Jezi Namba 10 asema "Messi ametengeneza njia yake, mimi nitaitengeneza yangu"

    Dogo anajisifu sana huo ndo ukweli,,,, wenzake messi na ronaldo wamekaa kwenye gem kwa mda mrefu lakin huwez kuta wana toa kaul za ajabu,,ajiangalie madogo weng walianza kaa yeye lkin wamepotea aache kauli za kitoto over
  7. M

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje mpaka PSG ameruhusiwa kutengeneza timu iliyokamilika namna hii?

    Me naona tim iliyowapa changamoto hawa psg ni bayern juzi ingawa alifungwa lakin alibattle sana,,liver alizidiwa sana kipa ndo aliwapeleka penati
  8. M

    JamiiForums Tanzania Application Nzuri ya Kudownload Videos YouTube

    Kama una computer tumiq IDM
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

    Kwenye wakatv app channel za azam at least,,,lakn kwenye iptv ch azam zina feli sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

    Hizi za kulipia ni nzuri kama una uhitaji na channel za azam sport,,,,ila kama unataka app ya mpira wa ulaya bas app ya cricfy tv ina channel zote za mpra kama super sport ,,bein sport,TNt sport na nyingne nying na zote ni HD na ni bure kabsa
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tunausubili sana huo uzi wa dawa uliyotumia ukapona
  12. M

    JamiiForums Tanzania DStv wapata haki za matangazo ya mechi za CAF

    Kwa sis wale wa ku stream mbona shangwe sana ni mwendo wa yaccine tv tu😁
  13. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Chonde Chonde Makolo msing'oe viti mkifungwa kwa Mkapa leo!

    Yeah si unaskia tim nzima wenye akil ni wawil,,yalkuwa yamejazwa upepo eti wanaenda kukaa juu ya simba na yenyewe bila kujielewa yapo yana shout ju kama mang'ombe 😁😁
Back
Top Bottom