Wajamvi,
Mpaka sasa Viongozi wa CCM wana ziara mikoani Kwa Viki nzima Sasa. Lakini kinachoonekana ziara hii imekosa mvuto na haina utuatiliwaji wa kina na haina mvuto.
Rais wa Tanzania mhe SSH, ki ukweli hana shida kabisa. Shida ipo Kwa mawaziri ambao aliwaamini na kiwapa nguvu ya kumsaidia pasipo kujua kuwa wao wenyewe wanauta Urais alionao.
Na hili tumelibaini baada ya RC Arusha kuibua taharuki ambayo hata mm sikuamini kama no kweli. Kumbe lisemwalo lipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.