Recent content by Mr Rigo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

    Utabiri 2021? Acha uzwazwa bwana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    mwenye hiki kitabu naomba nisaidie
  3. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Hakuna Mwanamke aliyedhalilishwa kwenye kamata kamata ya Ubungo, walikutwa nusu uchi mtaani wakabebwa kama walivyo. Sasa watapewa Mikopo

    Anayeuza anauza kwa hiari yake mwenyewe na anayenunua ananunua kwa hiari. Mbona hao mabamedi waliwahi lazimishwa kumiliki vitambulisho vya wajasiriamali, je walikua wanafanya biashara gani? Nchi huru hii kila mtu aishi maisha yake muhimu asivunje sheria
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefeli wapi? Gerson Msigwa amkumbuka shujaa wa Afrika hayati JPM

    "TANZANIA SIO MASIKINI"
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kwamba Watanzania wengi hawana ufahamu kwenye mengi hasa vijana. Elimu inapaswa iangaliwe upya

    Tatizo vijana walio vyuoni wamekua machawa wa vyama, hawatumii tena akili kufikiri. Wanawaza teuzi tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania The regime that does not care of its citizens

    Aliyewapeleka ndio awarudishe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

    Sijamalizia ata kusoma, kawaadithie uvccm izo hadithi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

    Mbinu za kivita
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo mwaka mmoja uliopita, Tanzania ilifanya Uchaguzi Mkuu, Unakumbuka nini siku hiyo?

    Nakumbuka kuna madiwani na wabunge walipita kwa fogging ila Rais alipita kwa uhalali
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Mkuu hajapewa muda wa kuzungumza wakati wa hafla ya kuapishwa Makamu wa Rais? Lipoje kiitifaki?

    Zege halilali Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom