Recent content by Mr Rich

  1. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Niwape mrejesho au tusubiri uchaguzi?
  2. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuulizwa swali gani na mwanao ukakosa jibu?

    Kuna mtoto wa sister yangu yuko around 6 yrs, tulikua tunapiga story then akasema "Mama akizaa mdogo wangu nitakua nambeba muda wote" nikamjibu kama jokes 'Mama yako hawezi kuzaa' kakauliza "Kwanini?" Nikajibu 'Kwasababu zile biscuit mtu anakula zinaingia tumboni mtoto akue siku hizi hazipo'...
  3. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Imetoka ChatGPT hii
  4. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Hoja ya msingi hapo fx tuitoea tusubiri waje wenye idea ambazo risk yake ni afadhali kulinganisha na fx
  5. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam tupo kimaisha tu lakini sio sehemu nzuri sana ya kuishi

    Nyumba za Dar unapangisha? Una nyumba ngapi dar? Umewezaje kujenga nyumba zote izo ukashindwa kununua AC?
  6. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Hooooooooooooooo
  7. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Oriflame bana nilijiunga aiseee, kupata faida ndo ilikuaa mtihani bidhaa bei kubwa nikakimbia nikawaachia afu10 yangu
  8. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namtafuta Carlos Sendwa

    Ni three idiots, au yeye ndo watatu?
  9. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namtafuta Carlos Sendwa

    Ulishampata?
  10. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Forex trader forex trader forex trader. Do not invest money which you can not afford to loose. Sasa jamaa akupe iyo 5M upoteze utapata wapi ya kumlipa? Forex inalipa ndio ilankwa pesa zako mwenyewe, na wengi wenu ata haiwalipi ina wapa hasara ndo mana mnahanganika kupata funds, please take easy...
  11. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Asante mkuu
  12. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Nimemtafuta fundi nitafanya ivo
  13. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Nitafanya ivo
  14. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Asante kwa ushauri
  15. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Ila nilichopewa na jamaa mwingne wa nje ya JF amesema kiwanja cha 20*20 hakitoshi pia akasema nisiope gharama nianze taratibu,
Back
Top Bottom