Sasa mim nashangaa sanaa yaani viongozi me naona wana ulemavu wa akili kabisa Sasa serikali moja tu yenyewe watu bado maskini shida nyingi tu Na bado serikali hii hii moja bado inakopa nchi za njee alfu piga total ya ela ya bungeni inavyolipwa kwa viongozi Sasa je serikali tatu za nini mnataka...
Aah! Sasa kama ndio hivyo wazazi wako nao wangeamua kuto kuwaza kujenga nyumba haraka na kununua gari we mtoto sio ungekuwa mtoto wa mtaan tu au msichana siungeanza kushobokea wanaume kisa magar. Bora uvizoee toka mdogo ukubwani usishangae na kuwa na tamaa.
Born stunna, stuntin' like my daddy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.