Recent content by mr polite

  1. mr polite

    JamiiForums Tanzania Hakika Rais Magufuli ni mwenye huruma sana.

    Hakika katika hili la kuwasamehe na kuwapunguzia adhabu wafungwa kwa Kiwango ambacho hakijawahi kutokea imethibitisha kuwa rais wetu yupo kwa ajili ya Maslahi Ya watu wengi na pia Ana hofu Ya MUNGU sana. Huyu rais inaonekana watu mwanzoni hawakuelewa falsafa yake. Sasa imeanza kusomeka miongoni...
  2. mr polite

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apangua safu ya Makatibu wakuu. Mafuru atemwa Hazina, Ole Sendeka RC Njombe

    Florence au Lawrence?! Sielewi
  3. mr polite

    JamiiForums Tanzania Mwingira: Wagombea Urais na Ubunge wanaotumia nguvu za giza watakufa kabla ya Uchaguzi

    Yaweza kuwa na ukweli au!? MUDA NDIO JIBU tiririka...
  4. mr polite

    JamiiForums Tanzania Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    hatareeee
  5. mr polite

    JamiiForums Tanzania Ubize wa gazeti la Uhuru kwenye habari zinazomuhusu Lowassa ni kama dira imepotea

    Kila kukicha gazeti la Uhuru utasikia inaandika mara Lowassa hivi mara vile.... kisa tu kahama chama. Kwani mbona kama wamepoteza dira kumdiscuss EL badala ya kuandika mambo ya mgombea wao tingatinga Magufuli. Nahisi wanaogopa sana nyota ya EL inatisha. ccm hapa inaonekana inamuogopa EL tena...
  6. mr polite

    JamiiForums Tanzania Ubize wa gazeti la Uhuru kwenye habari zinazomuhusu Lowassa ni kama dira imepotea

    Kila kukicha gazeti la Uhuru utasikia inaandika mara Lowassa hivi mara vile.... kisa tu kahama chama. Kwani mbona kama wamepoteza dira kumdiscuss EL badala ya kuandika mambo ya mgombea wao tingatinga Magufuli. Nahisi wanaogopa sana nyota ya EL inatisha. CCM hapa inaonekana inamuogopa EL tena...
  7. mr polite

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ana nyota ya kupendwa, ni hatari

    EL mpango mzima
Back
Top Bottom