Hakika Rais Magufuli ni mwenye huruma sana.

mr polite

Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
9
Reaction score
1
Hakika katika hili la kuwasamehe na kuwapunguzia adhabu wafungwa kwa Kiwango ambacho hakijawahi kutokea imethibitisha kuwa rais wetu yupo kwa ajili ya Maslahi Ya watu wengi na pia Ana hofu Ya MUNGU sana. Huyu rais inaonekana watu mwanzoni hawakuelewa falsafa yake. Sasa imeanza kusomeka miongoni mwa jamii zetu mbalimbali kama hii ya wafungwa na wamachinga. Wapo watakaopinga haya. Ila ukweli unabakia kuwa ukweli. Sasa basi huu ni Mwaka Mmoja tu kashagusa Jamii nyingi. Sasa kweli 2020 kuna wa kugusa hiki kiti........? Ni ngumu.
 
Mkuu...
Ebu tupe habari kamili kuhusu wafungwa, maana mie sijakuelewa
 
naludia tena kuwambia hizo 7,000/= mnazopewa ili kushinda mitandaon mkiwatetea zitawanzo miaka na miaka!!

badala ukeshe ukiomba ww unakesha ukitetea upuuzi!
 
Brother! ! Vip ikiwa vice versa. ..kwamba na ninyi kutokuwa na kazi maalumu za kufanya kunakowafanya mlale na kuamkia JF KUPINGA KILA KITU kunawafanya mmeze KILA UJINGA unaotoka Ufipa??????
Ikiwa Ukuta hewalaaaa...ikiwa kata funua hewalaaaaa...ikiwa huyu ana mashamba mengi hivyo ametumia madaraka yake vibaya hewalaaaa. ..ikiwa huyu ni fisadi hewalaaaa. ..ikiwa huyu si fisad hewalaaaa. ..ikiwa no huyu amenyang'anywa shamba baada ya kuhamia upinzani hewalaaaa. ..You are like a toss up toy
My take:- kidole kimoja ukimunyooshea mwenzio kuwa ni mjinga kingine kinarudi kwako kuwa mbona wewe ni zaidi yake???????
Sorry nawaza kwa sauti tu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hakika katika hili la kuwasamehe na kuwapunguzia adhabu wafungwa kwa Kiwango ambacho hakijawahi kutokea imethibitisha kuwa rais wetu yupo kwa ajili ya Maslahi Ya watu wengi na pia Ana hofu Ya MUNGU sana. Huyu rais inaonekana watu mwanzoni hawakuelewa falsafa yake. Sasa imeanza kusomeka miongoni mwa jamii zetu mbalimbali kama hii ya wafungwa na wamachinga. Wapo watakaopinga haya. Ila ukweli unabakia kuwa ukweli. Sasa basi huu ni Mwaka Mmoja tu kashagusa Jamii nyingi. Sasa kweli 2020 kuna wa kugusa hiki kiti........? Ni ngumu.
Mbna unaongea madudu ww au na ww unavizia cheo, ungejua kilichonikuta chuo ww wala usingemsifia huyo mkuu wa kaya
 
Rais anajua kuwa wengi wa wafungwa wamefungwa kwa kuonewa anajua hilo
 
Jela za nchi nyingi hua zinazidi kumpa ujuzi, uzoefu na kiburi mfungwa, biashara nyingi hazipo tayari kumuajiri mtu aliyewahi kukaa gerezani, huyu mtu anarudi anakuta ajira zimefungiwa, viwanda vinaletewa zengwe na nyumbani hapaeleweki.

Kwamba atakaa na kua raia mwema kusubiri ajira? Au shughuli ya halali? Tusubiri na kuona.
 
kwa upande wetu kafanya kitu kizuri sana so inahitajika wale wanaojifanya chadema damu wajaemagerezani.
 
Hakika katika hili la kuwasamehe na kuwapunguzia adhabu wafungwa kwa Kiwango ambacho hakijawahi kutokea imethibitisha kuwa rais wetu yupo kwa ajili ya Maslahi Ya watu wengi na pia Ana hofu Ya MUNGU sana. Huyu rais inaonekana watu mwanzoni hawakuelewa falsafa yake. Sasa imeanza kusomeka miongoni mwa jamii zetu mbalimbali kama hii ya wafungwa na wamachinga. Wapo watakaopinga haya. Ila ukweli unabakia kuwa ukweli. Sasa basi huu ni Mwaka Mmoja tu kashagusa Jamii nyingi. Sasa kweli 2020 kuna wa kugusa hiki kiti........? Ni ngumu.
anahuruma kwa wasukuma wenzie tu
 
Back
Top Bottom