Recent content by mr planB

  1. M

    Nauza Mini Laptop kwa Tsh.270,000/=

    Nipo mpanda naipataje?
  2. M

    Nakodisha sehemu ya jiko la biashara

    Hiyo nafasi bado hipo?
  3. M

    Msafara wa mh. Rais na gari la wagonjwa!!!...

    mkuu ni katika different direction na wakati huo kuna gari la polisi mbele kabisa lina wataka watu kupaki magari yao pembeni na katika magari hayo kuna gari la wagojwa. Kingine magari yaliyo kwenye msafara wa raisi huwa yanakuwa zig zaga yaan yanachukua barabara pande zote hafu huwa spidi sana...
  4. M

    Msafara wa mh. Rais na gari la wagonjwa!!!...

    Habari wanajavi?. Jamani leo nilipokuwa katika pirika pirika zangu za kutafuta ridhiki nilikutana na hii hoja. MSAFARA WA RAISI UNAPOKUTANA NA GARI LA WAGONJWA, NINANI ANAESTAHILI KUPAKI PEMBENI ILI MWENZAKE APITE? Samahanini sana ndugu zangu nimependa kutoa hii mada kwa kuamini mahala...
  5. M

    Viti vya baa vya kisasa vinahitajika

    mkuu naomba bei kwanza
  6. M

    Viti vya baa vya kisasa vinahitajika

    Wadau nahitaji viti vya baa vya kaunta vya kisasa kwa ajili ya ka grosary kangu nipo mpanda kwa mdau yeyote aniambie vnapatikanaje, usafiri na bei yake, vizuri zaidi kama nitapata picha na ufafanuzi mzuri kwa aina tofaut tofauti ya viti hivyo. Ahsanteni
  7. M

    Pikipiki inauzwa

    Nitumie pic watsap 0789373637
  8. M

    Bar chairs

    Viti vya baa vya kisasa pamoja na kaunta vinahitajika weka picha na bei tufanye biashara ahsante
  9. M

    Naomba Ufafanuzi juu ya elimu ya VETA

    Habarini wana jamvi. Ndugu zangu kwa yeyote anaejua juu ya elimu/taaluma inayotolewa na hivi vio vyetu vya ufundi stadi/veta nilikuwa naomba anisahidie katika hili na ikiwezekana achimbe ndani zaidi, Muhitimu wa veta anatambulika ktk soko la ajira? kunauwezekano wa kuendelea na elimu ya juu...
  10. M

    Wanawake safarini hawajui kukataa

    ila inabidi kidume ujipange
  11. M

    Photo printer epson l800 inauzwa

    samahani wakuu, ni kweli nauza printa ni photo printer epson l800 kwa 600000tsh na kamera digital ni fuji kwa laki 250000tsh, ila kwa sasa nipo mbali kidogo kikazi sintaweza kupata picha zake so naomba mnisubiri kwa 1week nitarejea tena hapa jamvini. SAMAHANI SANA NDUGU ZANGU, ahsante.
  12. M

    playstation for sale!!!!!!!!

    nipo katavi, mpanda, je nitavipataje?
  13. M

    Photo printer epson l800 inauzwa

    Imetumika miezi 4, ipo katika hali nzuri, nilikuwa naitumia katika studio yangu ndogo ya picha, kutokanna na usimamizi mbovu nimeamua kuifunga na kuuza kila kitu, kama utakuwa unahitaji kamera na hiyo printa vinapatikana kwa bei poa sana, karibuni wadau
Back
Top Bottom