Recent content by Mr okra Jefa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kuhusu (Fraud) mtu kutumia cheti cha mtu mwingine katika kazi zake

    Habari, Naomba msaada kisheria hili lipoje, mwaka 2020 mwezi wa tano, nilipata ajira katika kampuni moja jijini Dar, nimekuwa nao kwa muda wa miaka 4 mpaka mwaka 2024 mwezi wa 7. Ile naondoka ndo najua kuna mwamba anatumia cheti changu yupo pori moja hivi na hivyo vyeti alipewa na kampuni...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

    hyo ni yeye ndo kafanya hivyo co 24hrs dalili zake kuziona aisee but pole sana na kama unampenda mchukulie na myamalize coz huo ugonjwa unatibika kama upo katika first stage kaka;;ded darasa ft rich mavoko kama utanipenda moo info nitafute kaka whatsap 0769213843
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuisoma namba: Mali za Kampuni ya Mohamed Trans (yakiwemo mabasi) kupigwa mnada na TRA

    mwaka huu wataisoma sie mbeke kwa mbele
Back
Top Bottom