Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

Kaniambukiza, nimefanya uamuzi huu....

Sikumbuki mara ya mwisho kunyeshewa mvua bila mwanvuli nahisi siku nikimumunya pipi bila Ganda mate yanaweza kupata utandu na uchungu ama kunauwezekano wa hata kuhisi mwili umeingiliwa na mgeni. Mara mía kuchukiwa na kuonwa bogus na mwanamke kwa kukataa kutumia mpira kuliko kufungwa goli la ugenini. Nilishakosana nao sana
Wewe una hekima sana
 
hyo ni yeye ndo kafanya hivyo co 24hrs dalili zake kuziona aisee but pole sana na kama unampenda mchukulie na myamalize coz huo ugonjwa unatibika kama upo katika first stage kaka;;ded darasa ft rich mavoko kama utanipenda moo info nitafute kaka whatsap 0769213843
 
Na wewe pia uwe mwangalifu sasa maana wa dada wa siku hizi tamaa mbele. ..alafu wamekuwa hawajithamini tena. ..huwa wanachezewa sana na mijitabia yao ya kuvaa nusu uchi. ..uchafu mtupu. .KUWA MAKINI NDUGU YANGU
ahsante mkuu
 
hyo ni yeye ndo kafanya hivyo co 24hrs dalili zake kuziona aisee but pole sana na kama unampenda mchukulie na myamalize coz huo ugonjwa unatibika kama upo katika first stage kaka;;ded darasa ft rich mavoko kama utanipenda moo info nitafute kaka whatsap 0769213843
ntakutafuta mkuu
 
Mkuu huyo dem kama ni wa mkoani msamehe kwani wa mkoani hawajui kuosha. Cku zao wanatumia vipande vya sufi, pamba na godoro.Ila kama ni wa hapa dar itakua anauza sehem mbalimbali achana nae.
 
Mkuu huyo dem kama ni wa mkoani msamehe kwani wa mkoani hawajui kuosha. Cku zao wanatumia vipande vya sufi, pamba na godoro.Ila kama ni wa hapa dar itakua anauza sehem mbalimbali achana nae.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nimeshaacha naye kitambo sana
 
>>>>Gonorea ni hatua za kuelelea kuupata UKWIMi.... Hiyo ni alert endelea kupambana utapata unachokihitaji...
 
Salaam....

Ni mwanamke niliyedumu nae kimahusiano kwa takribani miaka mitatu.

kiukweli sikuwahi kushuhudia wala kuskia hata kwa watu kwamba ananicheat.
Nikajipa moyo kuwa hapa nimepata na tulienda kwa mipango mingi sana ambapo mingine imetimia na mingine bado ilikua njiani kutimia.

Sasa jumatatu iliyopita kafika gheto bhana....kama kawaida ikabidi tuchujane protin bila uwoga....lakin kipindi tunachujana alikua anatoa harufu mbaya sana na kali sana kwnye marighafi yake, na ingawa ilinikera lkn sikujali...
na sikuhitaji kumuuliza mana nilihusi uwenda angejiskia vibaya na ningemkwaza....bs nikavumilia mpka mwisho wa show.

Sasa ijumaa usiku nimekaa kitandani nashangaa uume wangu unatoa vitu kama usaa tena kwa mfululizo....kwenda kukojoa nashangaa napata maumivu makali sana kwnye mrija wa kutolea mkojo....jumatatu nimeenda kucheck afya na kugunduluka nina gonorrhea a.k.a kisonono..nlidata. Sijasex na mtu yoyote kwa mda mrefu sana na mtu yeyote zaidi yake kwa mwaka mmoja na nusu hv.

Ugonjwa huu unaambukiza kwa kufanya mapenzi tu...sasa mpnz wangu kaupataje....kwa akili ndogo tu nikagundua amenicheat na si ajabu anafanya hivo tangu kitambo.

Leo mida ya saa tano nimempigia simu na kumtaarifu kuwa asinijue yani mim na yeye basi...na nimempa sababu kwamba ameniambukiza gonorrhea....ingawa nlicheck na sikukutwa HIV lakin ili kumkomoa nimemwambia pia nimekutwa na virusi vya ukimwi..
Sa hv nimepokea msg zaidi ya kumi za dada na kaka zake kuwa kachanganyikiwa anataka kujiua

Mi sijajibu kitu coz amsure kujiua hawez ila chamoto atakiona.

Wasaalam.
Umekuwa na mahusiano nayeye kwa muda wa miaka mitatu ila hujawa na mahusiano na mwanamke mwingine tofauti na yeye kwa muda wa mwaka mmoja na.... ,,,labda na yeye ka-cheat mara moja kama ulivyo-cheat wewe.... usimhukumu bure...
 
  • Thanks
Reactions: bbc
nadhani ifike hatua vijana tuwe na tabia kutumia condom for any sexual intercourse
Hata mke??

Kwakweli usalama haupo kabisa wake,wachumba wote wanachepuka

Na huwezi kumpa mimba kwa kuvaa mipira sasa sijui tuwe tunatoa juu shahawa zimezwee na kujikinga unajikinga


Ila ukimwi upo kweli??
 
Back
Top Bottom