Recent content by Mr No fair

  1. Mr No fair

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa dunia ilipofukia leo yupi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa kati ya Mwanamke na Mwanaume?

    Unaohisi kwanini? Sio kwamba tumemezeshwa na wazungu mikataba hii ya ndoa ?
  2. Mr No fair

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa dunia ilipofukia leo yupi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa kati ya Mwanamke na Mwanaume?

    Familia Ili iweje Sasa? Kuna aina za familia pia ambazo sio lazima uwe umeoa au kuolewa na ukawa na familia Kwa nijuavyo mtoto na baba/mama pia ni familia Sasa sijui una maanisha nini?
  3. Mr No fair

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa dunia ilipofukia leo yupi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa kati ya Mwanamke na Mwanaume?

    Familia Ili Iweje?
  4. Mr No fair

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa dunia ilipofukia leo yupi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa kati ya Mwanamke na Mwanaume?

    Nimeuliza TU by the story kuhusu hii inshu na wazazi wangu hii ni mada nyingine nitakuja nayo pia
  5. Mr No fair

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa dunia ilipofukia leo yupi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa kati ya Mwanamke na Mwanaume?

    😂😂😂😂😂
  6. Mr No fair

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa dunia ilipofukia leo yupi mwenye uhitaji zaidi wa ndoa kati ya Mwanamke na Mwanaume?

    Kwa trends ya mambo yanayoendelea yupi Anahitaji zaidi ndoa kati ya jinsia Mwanamke na jinsia Mwanaume kutokana na kuingia na mambo ya usawa wa kijinsia na uwepo wa tamaduni zetu za kiafrika yupi Anahitaji zaidi ya mwenzake wa kuipata ndoa yupi ana manufaa zaidi ya hiyo ndoa?
  7. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Je unajua mtaji wa Milioni 10 utatosha kufanya biashara gani mwaka 2025? Nimekuelezea

    Biashara sio pesa hata ukiwa na kidogo tafuta Njia ya ushirikiano ukiwa na hicho kidogo sio lazima uwe na Kingi kama ujuavyo mkono mtu haulambwi
  8. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Je unajua mtaji wa Milioni 10 utatosha kufanya biashara gani mwaka 2025? Nimekuelezea

    Kaka nilikuwa na MILIONI 14 nikapata partnership na jamaa. Zangu wawili wao waliweka pesa zaidi yangu ila baada ya miaka 7 ya biashara Kwa bahati mbaya mmoja wa partners alifariki Familia ya marehemu ilihitaji pesa yote iliyomuhusu marehemu walipewa mwingine baadae alihitaji kufanya biashara...
  9. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Diamond pumzika muziki kwa muda pepo mchafu apite!

    Na Akichukua Grammy si ndio itakuwa kithibitisho kabisa
  10. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Endapo kuna mtu anabuni kitu hiki atapiga sana pesa

    Toa nondo hizo mkuu watu wapate madini kwasababu sio dhambi kutofahamu kitu wewe ukakifahamu elezea hapa Mzee kama Kweli
  11. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Hii kesi ya DIDY MIMI naona imekaa kimkakati sana huenda ni Njia ya kuitangaza UGASHO duniani

    Naamini ni promotion zao TU za Ugasho
  12. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Endapo kuna mtu anabuni kitu hiki atapiga sana pesa

    Data zake gharama zipoje
  13. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Hii kesi ya DIDY MIMI naona imekaa kimkakati sana huenda ni Njia ya kuitangaza UGASHO duniani

    Hili suala la p Diddy na kesi zake binafsi nimekataa kulichukulia kama wengi wanavyofikili Ukiangalia Taifa kama USA ( MAREKANI) Nchi ambayo inaruhusu ndoa ya jinsia Moja kivipi Leo iwe kosa Kwa DIDY kuwatembelea kinyume na maumbile wanaume wenzie Yani Leo Diddy amegeuzwa kama Njia ya...
  14. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Endapo kuna mtu anabuni kitu hiki atapiga sana pesa

    Evidence IPO wapi mkuu?
  15. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Endapo kuna mtu anabuni kitu hiki atapiga sana pesa

    Kwamba YouTube inahitaji namba kwamba Whatsapp ni lazima line iwe kwenye hicho hicho kifaa Kwamba msimbo hauwezi kutumwa Ikiwa line IPO kwenye simu nyingine? ELIMU ya wapi hii Mzee unataka kutufundisha?
Back
Top Bottom