Endapo gharama ikiwa kubwa ni lazma iwe kubwa but unaweza ukaanza online media ambapo unanunua u tube channel yny subscribes wengi then unaanzia huko huku ukipima upepo wa radio.
Kwa uzoefu wangu ili upate Vijana wa hiyo tasnia ebu jilink na vyuo vya uandishi wa Habari.
Hata hiyo 150 Vijana wanachukua tu nilifanya kazi media flan nikawa nalipwa hiyo pesa.
Acha kupotosha Umma,
Kuhusu Wanawake kuthamini kipigo Kama njia ya upendo huu Ni uongo mkubwa.
Tutajie mikoa ambayo haina limbukeni wa mapenzi.
Tusaidie tofaut Kati ya wivu na wivu wa kijinga.
Nb:Kuhonga Ni sehemu ya maisha Kwenye mahusiano Sasa sijui Vijana wenu wa Dar wanao honga mademu kila...
Kama hili halijakukuta kaa kimya au lifanyie utafiti utajua vzr maana mwanaume anaweza kuamua tu kuacha kutoa matunzo kwa hiari yake(Tabia yake) lakini mwanaume anaweza kuamua tu kuacha kutoa matunzo kwa sababu ya Tabia za mwanamke mfno Wanawake weng kwny hili wanapenda kuomba matumizi kwa...
Nadhan hii muvi haina uongo kivlee icpokuwa Ni ufundi tu pia umesema baadhi ya matukio ya kwny Ile ambyo Ni ya uongo ukiweza Rudi Tena kaiangalie Ile muvi then uje tujadili,
Mfno Yule rubani alishambuliwa kwa risasi b4 ndege kuanguka.
Wakati Sisu amenyongwa aligeza ule ubao ikainama then...
Nadhani Hilo Ni kundi Bora kabisa pia mfumo wa maisha yao unaonyesha Wana mishe nyng za pesa nje ya muziki ndo maana ni kama wanafanya mziki wamerelax c kwa ajili ya mziki kuwapa kipato Kama ilivyo kwa wasanii wengne tz.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.