𝗜𝗻𝗮𝘁𝗼𝘀𝗵𝗮!!!

𝗜𝗻𝗮𝘁𝗼𝘀𝗵𝗮!!!

Mimi naona wakati wao wakufanyia mziki umeisha Kuna kipindi walianzisha baby products za Goldie at least wangekomaa na biashara jua limeshazama
 
Mimi naona wakati wao wakufanyia mziki umeisha Kuna kipindi walianzisha baby products za Goldie at least wangekomaa na biashara jua limeshazama
Wale wanayo pesa ndefu ila mziki wao mi mob watu wanasema ni uzungu ila hawajui wale mziki wao ni kama watu Jamaica angalia zile switching zao za kuchanganya sauti yaani unaweza kusema wapo wengi wapo wawili hata beat zao ndo maana bongo wanadunda hata marekani hakuna mziki wa vile🤣🤣.

Nahreel alikuwa sijui producer ndo akaingia kweny mziki Kwa mgongo wa yule msichana ila anachoimba hakielewi labda yule msichana ...Nyimbo nyingi wanachuja sauti mara besi hawana zilw sauti original sikiliza ile kamatia chini huelewi ni kingereza au kiswahili wanachanganya
 
Nadhani Hilo Ni kundi Bora kabisa pia mfumo wa maisha yao unaonyesha Wana mishe nyng za pesa nje ya muziki ndo maana ni kama wanafanya mziki wamerelax c kwa ajili ya mziki kuwapa kipato Kama ilivyo kwa wasanii wengne tz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom