Ccm wote ni sawa na mashetani,hata umchukue malaika umweke ndani ya ccm mda wa mwezi mmoja anabadilika na kuwa shetani,wote sasa washabadilika wako wengi ndani ya ccm
Eneo hilo liko maeneo ya Moshi, jimbo la vunjo kwenye kata ya Kahe,Vielelezo vyote vinaonyesha hilo ni eneo la wazi ambalo walipewa kijiji kama eneo la mifugo, kulitokea watu wachache wakishirikiana na uongozi wa kijiji cha Ngasinyi kuuza eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 150 bila hata...
Serikali hii ya Tanzania inavunja record dunia nzima kwa kutaka kusifiwa tuu na vyombo vya habari!viongozi wengi ambao sio waadilifu hawataki vyombo vya habari vifichue maovu yao,hivi tutafika kweli?mbona inchi zingine hazifanyi ivyo?yani kiongozi anataka aibe mali za watanzania mwandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.