Eneo hilo liko maeneo ya Moshi, jimbo la vunjo kwenye kata ya Kahe,Vielelezo vyote vinaonyesha hilo ni eneo la wazi ambalo walipewa kijiji kama eneo la mifugo, kulitokea watu wachache wakishirikiana na uongozi wa kijiji cha Ngasinyi kuuza eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 150 bila hata kushirikisha wanainchi wa eneo hilo.
Kesi ilienda mpaka mahakama ya wilaya ila kwa kuwa kuna mkono wa serikali mpaka sasa wanakijiji wamekosa eneo hilo la mifugo.Liliuzwa tangu mwaka 2012 ila mpaka sasa mwafaka haupo.Watu hao walioshiriki kuliuza ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wanasema wao ndio wenye dola hamna mtu yeyote atakaowatisha.