Recent content by Mr.Mikael

  1. M

    JamiiForums Tanzania ...Uko wapi...

    queenkami. Huyu mtoto ameniteka vibaya.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

    mkuu sidhani kama hilo ni tatizo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

    Nimerudi kuwapatia shukrani nyote mlionitia matumaini,Queenkami ameshanipatia majibu yangu kwa njia ya private message lakini nasikitika kwamba siwezi kuwajulisha ni majibu ya aina gani.Hata hivyo nyote mlioniweka katika maombi naweza tu kuwaambia kwamba Bwana hujibu maombi hivyo asanteni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania mgeni mwenyeji nimewasili

    Asanteni sana wakuu.Nimeshakaribia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania mgeni mwenyeji nimewasili

    Asante wajina.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

    okay sasa nimekuelewa,noted. hapa ni mwendo wa kujikomba kwa Nyani Ngabu tu,si unajua mtaka cha uvunguni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

    mmhh haya,poa lakini.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

    Gaijin umenikosesha raha ghafla,ila si wako kiutani zaidi au kuna nisilolijua?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

    asante sana sweetlady,tuko pamoja.Mambo yakiwa magumu nitakufuata tufunge wote hizo siku 7.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

    umeona mkuu bht,hii nayo inafanya azidi kunivutia,sio mbaya mtoto wa kike akiwa na mapozi kidogo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

    nimeamini ukitaka dhahabu lazima uhangaike sana.Mwache anisome bana mana na mim nilimsoma sana ndo hadi kufikia huu uamuzi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

    jeez im nervous but its normal though lol natamani aje sometimes natamani asije hasa nikiwaza kuwa anaweza kunitoa nishai lkn ndo ukishazaliwa mwanaume ni kukabiliana na yote.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

    asante kwa ushauri,utazingatiwa mkuu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

    nawashukuru sana aisee,ujue ukiwa serious na jambo lazima utumie heshima na uadilifu.Hata hivyo lazima nije kwa heshima sababu nawaheshimu sana mkuu.
Back
Top Bottom