Nakubaliana na were ni vita ya kiuchumi watanzania tusikubali kuvurugwa na hawa mabepari na hao watanzania wanaotumiwa na walaaniwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Aende akapate elimu hayo mauaji yana walengwa na serikali inaongeza jitihada na mbinu ya kuangamiza nyang'au hao MSIOGOPE
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.