Jamani mie nashangaa sana kuhusu hii serikali yetu ya Tanzania, nakumbuka hapo nyuma walitutangazia wananchi kwamba mkongo wa taifa ukikamilika gharama za mawasiliano ya kiilektroniki zitashuka. Sasa nashangaa kuona gharama za matumizi ya vifaa hivyo yanazidi kuongezeka zaidi kuliko hapo nyuma...
Jamani mie nashangaa sana kuhusu hii serikari yeti ya Tanzania, Bakumbuka hapo nyuma walitutangazia wananchi kwamba mkonga wa taifa ukikamilika garama za mawasiliano ya kiilektroniki zitashuka. Sasa nashanga kuona garama za Mayumizi ya vifaa hivyo yanazidi kuongezeka Saudi kuliko hapo nyuma. Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.