Jamani mie nashangaa sana kuhusu hii serikari yeti ya Tanzania, Bakumbuka hapo nyuma walitutangazia wananchi kwamba mkonga wa taifa ukikamilika garama za mawasiliano ya kiilektroniki zitashuka. Sasa nashanga kuona garama za Mayumizi ya vifaa hivyo yanazidi kuongezeka Saudi kuliko hapo nyuma. Au mkonga huo uliishia wapi? Naombeni ufafanuzi wa jambo hili kwa anaelifahamu kwa kina Saudi.