Recent content by Mr. Mbugi

  1. Mr. Mbugi

    Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Unaweza kutupa ELIMU hiz mbegu zinakamuliwa vp mafuta
  2. Mr. Mbugi

    Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habar ndugu, namba yangu 0673391038.Naomba nibipu unisaidie swala la kupata paspot
  3. Mr. Mbugi

    Jamaa yangu kutoka swazland anahitaji binti

    kwa binti mrembo miaka 19 hadi 23 awe tayari kuishi swazland,, si mimi ni jamaa yangu anataka kuoa mtanzania. kama upo tayari nicheck ktk namba 0673391036
  4. Mr. Mbugi

    Loans board

    Wadau naomba kuuliza, kwasasa nipo mwaka wa kwanza open university nasoma, ba-natural resource assessment and management (ba-nram) naomba kujua kwa wajuzi nikiomba mkopo kwa mwaka wa pili kwa programme hii nwaeza kupata?
  5. Mr. Mbugi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu idara ya msingi nipo wilaya ya Geita, natafuta mwl wa kubadilishana nae aliyopo morogoro, iringa au Pwani.Kwa aliye tayari ani-inbox. KARIBUNI.
  6. Mr. Mbugi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi ni mwl. wa shule ya msingi wilaya ya geita,,natafuta mtu wa kubadilishana nae aliyopo morogoro, iringa au dodoma. aliye tayari ani-inbox
  7. Mr. Mbugi

    Diploma teachers ni kilio cha wengi

    May be watawaweka wanapofanya marekebisho walosema
  8. Mr. Mbugi

    Naombeni msaada kuhusu Open University

    Kaka naomba nitafute unishauri kuhusu open,,,,mm mwenyewe nimechaguliwa mwaka huu na programme yetu ni mpya, namba yangu ni 0784391038
  9. Mr. Mbugi

    Naomba msaada kwa mwenye ujuzi hasa madaktari

    Mke wangu anasumbuliwa na mgongo sehemu ya kati {uti wa mgongo} HISTORIA YA MGONJWA; Tatizo lilianza kwa maumivu kiasi lakini lilianza kuwa kubwa alipopata ujauzito na kadri ujauzito ulipokuwa mkubwa maumivu pia yalimzidi mpaka alipojifungua,toka alipojifungua maumivu bado yanamsumbua.Tulienda...
Back
Top Bottom