Recent content by Mr. Mangi

  1. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

    Hakuna mfano mwingine zaidi ya mwalimu? Vipi kama tukimuweka bank teller badala ya mwalimu?
  2. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Mburudishaji mkubwa wa JF unayeweza msoma hata kwa siri

    Yap nyuzi za billionaire Kiduku Lilo ni hatari faya
  3. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kupata passport ya kusafiri zipoje?

    Akikujibu nitag
  4. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Leo nimepatikana ushamba ni kitu kibaya sana ndugu zanguni

    Relax, relax life is not that much serious... Salute Kiduku Lilo
  5. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Leo nimepatikana ushamba ni kitu kibaya sana ndugu zanguni

    Stress free zone teh teh teh, mkuu uje na uzi mwingine siku ya kwanza kufika kariakoo
  6. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    N Yote bei ni moja 1400kg
  7. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Sikulima mwenyewe tupo kikundi
  8. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Habari za saa wakuu wangu? Bila kupoteza muda niende katika jambo husika kwenu wahenga na wasamaria mnisaidie maarifa... Wakuu kama mhitimu bila kupoteza muda ktk kutafuta na kusubiri kupata ajira mwaka huu nilifanya maamuzi ya kuwekeza fedha yangu ya akiba ktk kilimo cha maharage huko Gairo...
  9. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Hizi picha zina ukweli??

    Uongo mtupu ni promo ya ARV ili watu wazidi kupiga hela
  10. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Mungu nisifikie kukata tamaa

    Si bora we 24yrs mi may natimiza 26 na tokea Feb niliamua kurudisha majeshi nyumbani japo sikupenda kbsa,,, now najipanga kurudi mchezoni upya June the bad thing naonekana nna hela kumbe holaaa..... The good thing Mungu yupo tumtangulize yeye sikia hii hivi majuzi saa kumi alfajiri niliamka...
  11. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hahahaha man u na tot mtakufa kwa presha na sisi hatuna muda leo lazima tumchinje mtu
  12. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje Pierre akitumia picha hii kulianzisha?

    Yeye hana habari
  13. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tumeandaa Semina Ya Wajane

    attention seeker
  14. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Muwe Mnaangalia Watu wa Kuwaalika, tukomeza zero haiongelewi tena

    Tatizo wivu Rc alitegemea kupaishwa baada ya ushindi wa stars then ghafla piere ndo anapaishwa na mama samia makonda ikamchoma kinoma maana ni kama vile jitihada zake za uhamasishaji hazijaonekana
  15. Mr. Mangi

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Facebook kama ulikuwa haujui

    Tupe jina la akaunti tukajiridhishe zaidi
Back
Top Bottom