Subiri nawewe ufe uone watakaokulilia ni wangapi. Watu wengine mmejawa na husda. Yaani kitendo cha Marehem kupendwa tayari unakuwa hasidi. Sasa subiri nawewe ufe utazunguushwa kijijini kwenu uone kata watu watalia hata
Toa maoni yako. Sasa ukishakuwa Kima ndio unakuwaje kwa mfano. Watu wenye makengeza ya akili utawajua tu. Kabudi ndiye alisimamia mabadiriko ya mikataba ya madini ambayo awali tuliliibiwa kama taifa. Na mengine
TRA wangekuwa wanaweza kuelewa uhalisia Basi ningewashauri waachane na hivyo vimashine. Toka vianzishwe zimepelekea kwa asilimia nyingi kuyumbisha biashara. Muuzaji akisema kiukweli kabisa kabisa akitumie Kama TRA walivyomeza Basi hiyo Kodi yake hawezi kuilipa na akiilipa Basi ujue amechota hadi...
Vumilia tu kwa muda ndugu. Walaumu Sana Hawa wapuuzi wanaotumia mitandao kuhamasisha mambo ya hovyo ya uvunjifu wa AMANI. Amani ikivunjwa kupitia uhamasisho wa hiyo mitandao si kwamba tu mauzo yako yataongezeka au kupungua bali yatapotea kabisa na kupoteza kila kitu. Kwahiyo kuwa na subira...