Na hili nalo mnataka waziri wa mambo ya ndani alijibu acheni fikra za kipumbavu hili swala lipo chini ya police na mamlaka ya upelelezi ya makosa ya jinai na siyo waziri
Hii inasikitisha sana kwa unyama uliofanywa kwa huyu ndgu na mtanzania mwenzetu ila pia ntashangaa sana kama hili tukio kuna watu watalitumia agenda yao ya kisiasa kwa hili watakuwa wamerwong step mbaya sana
Kuwa mfungwa haina maana ndio mwisho wa maisha japo siyo kwamba mfungwa ni mtu mbaya ila kungetumika utaratibu mzuri wa kuwatumia wafungwa wetu katika utaratibu mzuri wa uzalishaji mali mfano wafungwa wa mda mrefu hawa wangetumika katika kufanya shughuli za uzalishaji hasa kilimo na ufugaji na...
Kwahiyo police na waliokuwa wanakufa kibiti na mkuranga mabwepande hawakuwa watu walikuwa fisi maana hata fisi napo ni utalii watu wangehoji kwann inatokea ila kwakua wapo binadamu ambao wenyewe ni level flani wakiguswa ndio hapo mnasimama hakuna anaependa mauaji na matukio mabaya kuendelea...
Mungu atuongoze vyema hasa katika matukio haya yakijamii tunakoelekea siyo kuzuri maana siku hz kwenye misiba kumekuwa na huyu wa chama flani azikwe na chama chake na huyu wa flani nae watazikana wao sisi hatuendi hii ni mbaya sana ikiendelea hv muda siyo mrefu tutageukia kwenye imani zetu...
Sitoshangaa ndgu ndio demokrasia inayodaiwa kila siku ya mtu kutokujali utu na thamani ya mwenzake siku zote wanasema usipende kumtendea mwenzio usichopenda utendewe
Demokrasia ni neno pana sana na demokrasia siyo ya kukosoa tu hata kuwawajibisha pia viongozi wanaokengeuka kwa nguvu na kauli moja lakini hv ni utaratibu gani tunaotumia katika kukosoa na kutoa maoni? Je kutukana na kutoa kauli chafu,kejeli,kashfa na kutoheshimiana kwa mamlaka ndio tunaiita...
Usifananishe mbwa na binadamu mwenye utashi bhana alafu haya mambo tuwaachie wenyewe kelele si ilikuwa jeshi la police kumtafuta na kukamata wahusika baada ya taarifa za kutekwa sasa mbona mnashinikiza police wafanye kama ninyi mnavyotaka hao mawakili mbona hawakumfuata huko saohill tuwape...
Huyo mtoto ni mzuri kiasi kwa sura yakuombea maji ipo mtindi nao Mungu hajamnyima na kachura nako kapo ila me siwezi tembea na demu ambae namzidi me mwenyewe HB najikubali sasa ndio nichukue sankononko hata halieleweki lanini sasa
Na hao wanawake wanaolia na kumkimbilia wanazuiliwa au huwaoni alafu picha kama hiyo huwezi pata filling ya kila mtu wangemuulia sehemu maalum ikaisha mbona huku sheria yakunyonga ipo ushawahi kuona wananyongwa hadharani
Alafu siyo kila mtu ni Dada ako uwe unasoma basi huwezi tofautisha Mr& Mrs au ndio umezaliwa familia ya akina Dada wengi sawa hata kama wanasheria wa kifamilia au taasisi amefanya kosa gani yule siyo mtuhumiwa ni mhanga wa tukio wangeenda ndgu labda sawa ila wanasheria ni pale akifunguliwa kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.