Recent content by Mr Leo

  1. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania Tukiendekeza siasa na udini katika mashindano ya African Football League, hayatadumu

    Leo nime like comment ya Tate Mkuu , huwa nazikimbia comment zake kwasababu anatusagiaga sana kunguni simba hahaha Why nime-like? Sio tu imenifurahisha, hapana, ameongea ukweli Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  2. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania Tukiendekeza siasa na udini katika mashindano ya African Football League, hayatadumu

    Yaani wewe kuleta tu hii mada humu ndani tayari ni msiasa kama si mdini..... Mbona hukuja na mada kuwasema waingereza walivyompiga figisu mmiliko wa Chelsea wa zamani kwa sababu tu ni mrusi, kwani zile sio siasa katika Mpira??? FIFA na wewe wote mna double standards, jambo likiwa dhidi ya...
  3. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania Tanzania tujiepushe kuwa kinyume na Israel kila wakati

    Alhamdulillah Mimi ni muislam....Alhamdulillah katika mafundisho yetu ya kiislam makka na madina ni miji mitakatifu na sio wakazi wa makka na madina ndio watakatifu au bora kuliko watu wengine, laa! Mbora wetu mbele ya mwenyezi mungu ni mcha mungu hata kama anatokea rorya...naipenda sana hii...
  4. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania FIFA wamesema wataonyesha mechi ya robo fainali AFL dunia nzima

    Achana nae huyo hana hajualo, Pepsi na coca wapo kila sehemu kwani wana sababu gani kwenda vinijini ilihali wao ni super brand duniani kote?? Hana analolijua huyo muache
  5. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania FIFA wamesema wataonyesha mechi ya robo fainali AFL dunia nzima

    Ulichokiandika hapa ni mfano wa kitoto sana sawa na vyuo visivyo na muda mrefu sana kama UDOM kufanya vizuri katika taaluma, research na innovation mbali mbali alafu Chuo kikongwe kama udism kishindwe kufanya hivyo kianze kujivunia oooh walimu wengi wa udom walisomaga udism au walikuwaga udism...
  6. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania FIFA wamesema wataonyesha mechi ya robo fainali AFL dunia nzima

    Ulichokiandika hapa ni mfano wa kitoto sana sawa na vyuo visivyo na muda mrefu sana kama UDOM kufanya vizuri katika taaluma, research na innovation mbali mbali alafu Chuo kikongwe kama udism kishindwe kufanya hivyo kianze kujivunia oooh walimu wengi wa udom walisomaga udism au walikuwaga udism...
  7. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini siyo kawaida kumsikia Shehe Dkt fulani au Shehe Profesa fulani kama ilivyo kwa Wachungaji na Maaskofu?

    Kwa taarifa yako si udokta wa heshima ni udokta wa level ya elimu aliyonayo ila si issue kwetu waislam kuitana sheikh doctor, hata nje na dini wapo watu wamepewa udaktar wa heshima(No dewji) ila hawana nao haja sana wa kujinadi nao eti Mimi doctor pengine umejua Leo Mo pia daktari ila kwake sio...
  8. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini siyo kawaida kumsikia Shehe Dkt fulani au Shehe Profesa fulani kama ilivyo kwa Wachungaji na Maaskofu?

    Swadakta,akina sudais ni professor lakini binafsi sjwahi eti kumuita professor sheikh sudais wala sjawahi hata skia waislam wakimuita eti professor sheikh sudais ndio nini kwanza?? itoshe tu kumuita sheikh sudais, muft wa hapa Tz ni daktari, lakini yatutosha sisi kumuita sheikh muft basi....
  9. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM

    Acha ujinga.....nilitamani hata nifahamu kiwango chako cha elimu maana reasoning yako ipo chini sana, bad enough unaweza kuwa ni mume/mke wa mtu
  10. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania Mnakuwaga wapi pale Iran, Russia, China wanapofanya maafa?

    Huyo izarael hapo kapelekwa 1917 sjui aliempeleka hapo ardhi ilikuwa ya urithi wa baba ake hadi akaamua ampe nani
  11. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuamini gharama za Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

    Kauli moja ambayo inatumika hadi kwenye mazingira yasiyofaa....in short ni kauli inatumika hadi kwenye ujinga Sawa kwako ni pesa ndogo....lakini unatambua kwamba ukubwa na udogo wa pesa ni relative matter ina depend mtu na mtu???? Babu alieko Musoma anaetegemea ashike vijisamaki vitatu kwenye...
  12. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuna fursa nyingi ila umaskini umetamalaki

    Kwani hata kwetu bara hapa tuna rasmali ngapi??? Nyingi sana kwani maisha ya mmoja mmoja yakoje na kipato cha wengi kipoje??? Waachemi wazanzibar bwana tufanye yetu kwanza
  13. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania Babershop inauzwa

    Vipi unaweza uza baadhi ya vitu tufanye biashara?
  14. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania Babershop inauzwa

    Mwamba kaomba wateja wa vitu au salooni nazani ila wadau wanadiscuss mambo nje mada kabisaa.....kuhusu failure in business it's normal regardless umefanya risk management kiasi gani...hata kina elon wana failed project pia tena sio moja wala mbili tena za mkwanja mrefu!
  15. Mr Leo

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

    Mwenye kupinga hili basi hamna haja ya kuelezwa zaidi
Back
Top Bottom