Tena mimi nachukia sana na huu uchafu wa kubet ,vijana wetu ambayo ndo nguvu kaz ya taifa wameharibika akili hawawaz kuzalisha zaid ya kuwaza kucheza hiyo kamali,rais tusaidie kwa hili
kumbuka pia purchasing power ikiwa kubwa inapelekea high inflation rate, kwahiyo sioni kama ni suala la kiuchumi hata kama lipo lakin ni kwa asilimia ndogo sana mkuu
Huyu
m Huyu mzee wivu tu ndo unaomsumbua alitaka aingie yeye ili aendelee kupiga dili Magufuli ni rai mchapakaz na dunia inalitambua hilo kwasasa elimu bure itafanikwa tu kwan bado mapema sana
Mkuu usianze kumlaumu JPM acha afanye kaz na kupanga safu yake itakayomsaidia mi sion ubaya hapo jamaa hashuguliki na mambo ya dn kabisa ukilinganisha na awamu zetu zile mbili
yeah Magufuli mi simpi kabisa suala la udini na hana lengo hilo kabisa ila huwa nawalaumu na kuwashangaa wanaompa jk sifa ya udini manaa ukingalia idad ya mawazir wakuu wa mikoa na madc na wakurugenz mbalimbali wa mashirika ya umma wanaoteuliwa na rais bado waislam ni wachache sasa sijui waislam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.