Naomba Magufuli asifananishwe na takataka za jalalani tafadhari sana.
Adabu itawale.kama hamuwezi kumuongelea kwa mema basi fungeni hayo matako yenu pumbavuu
Tatizo siku hizi waoji wanakaziwa halafu wanaliliwa wapigaji tu, binti ukishamwambia unamuoa ndo anavyozidi kukaza asiguswe wakati kuna masela wanamgeuza kama chapati kwa ofa za chips mayai.
SISIS SIO WAJINGA TUNAJUA. Na huu ushauri umekuja kwa kuchelewa saaaana.
Hivi ni mimi tu ambaye sina wivu wowote kwa kiumbe anayeitwa mwanamke au kuna wengine??
Mimi ukichepuka ni mpaka nikukamate hapo umeenda, nisipokukamata hata kuhisi au kukutilia mashska sihitaji kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.