Recent content by Mr kkk keep

  1. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana I phone 6 plus na Vivo y11.

    [emoji2][emoji2]
  2. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana I phone 6 plus na Vivo y11.

    Naombeni ushauri, Kuna ndugu yangu ninae muamini sana.. Anataka tubadilishane simu... Yeye anipe simu yake I phone 6plus yenye battery health 100.. iliotumika miezi 3. Na Mimi nimpe simu yangu Aina ya vivo iliotumika miezi... 8 Kwa experience zenu ndugu zangu naomba ushauri! Naheshimu mawazo...
  3. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

    Na wewe weka zako.
  4. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

    Mbivu sana
  5. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

    Aisee ushauri wako umenigusa Sana... Nashukuru sana
  6. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

    Sawa
  7. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

    Ndugu yangu! Sawa ... Sasa hisia zangu unataka nipeleke wapi?? Sex Ni Basic need kwa kijana.
  8. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa yeyote anayefahamu kuhusu biashara ya matunda anisaidie

    Hayo majibu unatakiwa kuwa nayo wewe! Ina maana umekurupuka kufanya biashara ya matunda???? [emoji2]nimecheka sana! Hivi kweli unauliza Hadi eneo la kufanyia biashara???? Kwa Hali hiyo akili yako haina tofauti na mtoto wa miaka 12
  9. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

    Sawa Mrs utomvu
  10. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

    We acha tu [emoji2]
  11. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

    Duh sawa aisee
  12. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

    Nashukuru sana kijana wa hovyo hovyo.
  13. Mr kkk keep

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

    NDUGU zangu, Mimi Ni kijana wa miaka 22... Nasoma chuo Fulani hapa Dar es salaam. Nina msichana (demu) zaidi ya mmoja ninao kwenye mahusiano kwa muda tu bila ya wao kujua.. Tatizo Ni kwamba wao huwa wanataka kuja ghetoni kwangu kushinda na kulala... Rakini Mimi naogopa Sana... Naona Kama Ni...
Back
Top Bottom