Recent content by mr.kinwiko

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutengeneza blog

    Tupia hapahapa hayo maujanja ili na mimi niyapate mkuu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuanzisha blog na gharama za matumizi ya blog.

    Habari za leo wanajamiiforum. Naomba msaada kwa anayejua namna ya kutengeneza blog yako mwenyewe na gharama zinazohitajika katika matumizi ya blog.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuma salamu zako hapa

    Natuma salamu zangu kwa wanajamiiforum wote, bila kumsahau rafiki yangu Ezekiel kilindila akiwa uyole, Mbeya. Ujumbe; Salamu ni nusu ya kuonana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Toyota mark 2 GX 100

    Haya ngoja tujitahidi, kupiga kazi .One day yes.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Poleni Watanzania wenzangu kwa aibu hii kubwa, maadili yamepotea kwa vijana, na wazee pia yamepotea? mh!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Penzi la house girl,,mume amnyonga mzazi mwenzake............

    inauma sana! inauma sana! ugaidi kama huu utaisha lini jamani?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Penzi la house girl,,mume amnyonga mzazi mwenzake............

    huyo mwanaume hana ubinadamu kabisa. serikali ichukue mkondo wake.
Back
Top Bottom