Kaka ebu sachi humu JF au google andika hivi nilipona punyeto kwa kujiamini,hapo utakutana na ushuhuda wa jamaa ambae anaanza kwa kusema yeye ni umri wa 30+ na taaluma yake ni dakitari,jamaa alikuwa na hilo tatizo km lako na aliponyeshwa na nesi yani ufundi wa yule dada wa kumuandaa baada ya...
Bw cash money na bw instanbul natamani urefushe maelezo zaidi kuhusu jelging mtu akiifanya jinsi inavyosaidia ktk sex ile performance natamani uelezee kirefu kwa uzoefu wako wenye uhalisia.
Ni kweli mkuu kuacha kupiga punyeto ndo tiba ya kwanza kabisa kwasbu tatizo kubwa uwa ni saikolojia kuathirika.Kuna ushuhuda humu JF ameandika jamaa mmoja NILIPONA PUNYETO KWA KUJIAMINI ebu google hayo maneno utakutana na ushuhuda murua sana huyo jamaa mwanzon anaanza kwa kusema yeye taaluma...
Binti wa Mungu Marry kwanza hongera kwa hoja na maneno yenye maana (logic ). Wakati na mimi najiunga humu niliambiwa hivyo hivyo kuhusu kuweka utambulisho wangu wa kweli kuwa ni makosa jina langu halisi na picha aisee mpaka nilijishtukia nikakosa amani. Kuna dada mmoja nikawa nachat nae km...
Kweli km ndug wengine wanavyosema Fanya mazoezi hasa ya kukimbia km kuna mlima itafaa zaidi na uache kufanya punyeto na mapenz kuanzia miez mitatu utashangazwa na matokeo yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.