Recent content by Mr Gratitude

  1. Mr Gratitude

    Jini la kuongea Kiingereza lapanda na kukataa kutoka

    Jini la mchongo linaongea broken English
  2. Mr Gratitude

    DOKEZO Responded Soko la Kijichi (Temeke) limejengwa kwa Mamilioni ya mkopo wa Benki ya Dunia lakini halitumiki, nini hatima yake?

    SOKO LIMEJENGWA MAENEO AMBAYO NI YA WATU WA DARAJA LA JUU KIMAISHA, MANUNUZI WANAFANYIA UKO MJINI WANAWEKA STOCK NDANI NANI APOTEZE MUDA WAKE KWENDA UKO KUFANYA MANUNUZI WAKATI MAGENGE YAPO UKO MTAANI
  3. Mr Gratitude

    Application za kutoa mikopo wanapata wapi haki ya kuingilia faragha kwenye simu ya mteja na kuhack majina?

    Wakati unajisajili uriruhusu mwenyewe waingilie phone contact zako sasa tulia dawa ikuingie
  4. Mr Gratitude

    Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Siajamuelewa mchungaji anaposema kuwa anasimama on behalf of God mahali ambapo ilibidi Mungu akuombee anaomba yeye kama mchungaji, Mungu ambaye ni muweza wa yote anaomba kwa nani? au nimelewa
  5. Mr Gratitude

    Idara ya UTUMISHI kupitia Ajira Portal kusitisha usaili ghafla bila kurudisha gharama za watu ni uonevu

    Haingii akilini mmetumia zaidi ya miezi minne kuita watu kwenye Usaili Dodoma kisha mnasitisha mchakato ghafla, just imagine vijana wametoka mikoa ya mbali kwa gharama zao tena vijana ambao wengi hawana kipato cha uhakika kutokana na ukosefu wa AJIRA. Tunapendekeza next time muanzishe vituo...
  6. Mr Gratitude

    Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

    Vipi kuhusu zoezi la kuundaa mwili wa marehemu kwa ajili ya mazishi kumekuwa na tuhuma toka kwa ndugu kuwa miili ya wapendwa wao inaweza kuondolewa kiungo kwa maelezo maalumu, ili limekaaje maana ndugu wanakua wakali sana katika Ili zoez pale wanapokosa mwakilishi katika zoezi zima
  7. Mr Gratitude

    Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

    Ukiitwa kwenye interview na utumishi hakikisha unabeba document zote ikiwemo vyeti vya ubatizo na kipaimara Yani ukikosa kiambatanisho kimoja tu unatemwa na hapo kumbuka umetoka mkoa mmoja kwenda mwingine kufatilia mchongo [emoji3][emoji3][emoji3]
  8. Mr Gratitude

    Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

    Kwanini mwili wa marehemu ukifika mochwari kunakua hamna utaratibu wa kumpima Tena angali yupo hai, haijawahi kutokwa siku mtu kazinduka akiwa ndani ya friji?
  9. Mr Gratitude

    Kitendawili cha watu waliojenga mapiramidi ya Misri tayari kimeshateguliwa

    Ugunduzi wowote ukimhusisha mtu mweusi Wazungu hawapendi wanaleta story za aliens shtuka mapema Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  10. Mr Gratitude

    Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

    Nimeshuhudia mtu akizama maji baharini wakati akiogelea kama utani ni kitendo Cha dakika zisizozidi kumi tayari mtu anakua amepoteza uhai, tafadhali kama Hauna ujuzi wa kuogelea usiingie baharini
Back
Top Bottom