Recent content by mr.goodlife

  1. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mi mwalimu ajira mpya wilaya ya uyui Tabora naomba anayetaka kutoka Igunga Tabora kwenda uyui anitafute
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Mshukuru Mungu pazuri sana full Maji, Umeme na msosi huko kwetu sema mi ndo hivyo nimerushwa Igunga
  3. M

    JamiiForums Tanzania Niolewe na yupi - ushauri wako ni muhimu

    Mi nikijana sina experience na ndoa lakini I believe mume au mke wa kwanza ndo Mme au mke baada ya hapo ni kucheza kamali kama ungeweza ungelea watoto wako tu sasa kwa umri wako kuanza kubeba mimba tena ipo kazi kama unaupweke sana basi chagua huyo wa kwanza maana naisi anakufaa I mean it lakini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye carry 1st semester

    Navyo sikia mtu yoyote ambae hana cheti cha chuo hazimuusu so sijui tetesi zinaukweli wowote
  5. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal leo kipigo

    Arsenal ilionyesha ishindani Jana Ila sema wenger hana uwezo wa kuleta mafanikio navyo hisi msimu huo arsenal itamaliza top 4 Ila bila kombe kama man u,
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hodi Jamani

    I love this mismimi mi natafuta dem siitaji mchumba
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Ajira mpya za waalimu - TAMISEMI

    Kazi tunayo let us wait and see
Back
Top Bottom