isipofungwa tukufanyaje?Kutokana na timu za UEFA jana kushinda ugenini,leo Arsenal ina uwezako mkubwa kufungwa nyumbani na Bayern Munich kwa wingi wa mabao.Poleni sana.
Nakubaliana kabisa na analysis yako. Kuanzia leo timu za ugenini ziwe zinapewa ushindi bila ya mechi kuchezwa. Hawa UEFA hawajui kinachoendelea..Kutokana na timu za UEFA jana kushinda ugenini,leo Arsenal ina uwezako mkubwa kufungwa nyumbani na Bayern Munich kwa wingi wa mabao.Poleni sana.
Nakubaliana kabisa na analysis yako. Kuanzia timu za ugenini ziwe zinapewa ushindi bila ya mechi kuchezwa. Hawa UEFA hawajui kinachoendelea..
Kutokana na timu za UEFA jana kushinda ugenini,leo Arsenal ina uwezako mkubwa kufungwa nyumbani na Bayern Munich kwa wingi wa mabao.Poleni sana.
Duh! yani conclusion zingekuwa zimetengenezwa kwa argument za mtindo huo wako life ingekuwa simple sana. Ila ninauhakika mtu kama wewe huwezi kupata ulcers (vidonda vya tumbo) hata cku moja b'se hajishughulishi kufikiri (no stress) na badala yake una-conclude kirahisi rahisi tu.
Unafanana na mtu anaesema "Ngadu katoka baharini kaja nchi kavu basi ngadu nae samaki"