Recent content by mr Future

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

    Hapo sasa naona harufu ya vita ya magharibi huku china akikaa palee na kama china atashiriki vita yaan namaanisha USA , china ,Russia , na europe waingie vitan ndo vta ya 3 ya dunia itaazia apo, ila kumbuka china s taifa linalopenda vita sana kama hawa russia na usa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

    Naunga mkono hoja ana mapungufu yake lakini mwamba anajua, kunaye pia Pm majaliwa huyu nae jembe sema amepoa sana sku hizi , viongoz elite wapo mfumo unawabana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

    Vita ni vita Urusi anasema atawaonesha hao ambao wana silaha kama zake na nyuklia wanazo pia hvo sion atakachowaonesha zaid ya kujipima uwezo nao namaanisha kila mmoja lazma aathirike na unajua putin ashazeeka ana miaka michache kuishi hvo kwake liwalo na liwe nyie chekeleen kama hzo 💣...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Iran ina wakristo 300,000 na makanisa 600

    So point yako hapa ni ipi ??, unatak tz itambulike kama nchi ya kiislam au kristo, maana umetupa takwimu nzuri,
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

    Ni kwel ccm tatizo. Lakini ndan yake kuna baadhi ya viongozi bora, sasa tafakuri hao chadema kwa mimi sijaona kiongozi wa kupewa hii nchi , inatakiwa wabadilishe sio kila siku ni risu na mbowe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Makao makuu kuhamia dodoma ni jambo jema , hatuwez kuwa tegemezi wa dar tu na kujenga dar tu, lazma nchi itanuliwe, et kil kitu dar hio haifai, kuhusu pesa zinazotumika ni sahihi tu kwan hata kununuliwa ndege ilikuw kelel hivohivo, ila nilchojifunza hapa watanzania wengne ni wabinafsi, wanataka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huwezi amini Wazungu ndio wanalisha Hoteli za Kitalii Tanzania, Hii aibu kuu

    Nakuunga mkono, Kuna vitu vinazingatiwa ili uuze mazao yako kwenye mahotel makubwa na hizo camps kama vile , quality, ways of production, kind of fertilizer , traces of pesticides , .mi binafsi naataraji kuanza organic farming ndo suluhishi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kufikiria kitu halafu ukakikuta kwenye Mitandao ya kijamii?

    Nimekuelewa vizuri, na naendelea na utafiti wangu kuhusu internet
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bongo Kilimo Bado sana tena sana

    Ulichoongea ni sahihi, na sio kwamba wanaweka hizo TC's kuwabana wakulima, ila ni lazima zao lilimwe kwa utaratibu unaozingatia usalama wa mlaji, mfano mimi ni nimewah fanya kaz shamba moja, walinichukia kwa aina yang ya upigaji wa dawa, aisee wakulima wengi wanapiga dawa bila mpangilio tena...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Hapa gharama zinategemea yafuatayo 1: location 2: source of water 3:labour 4: farm implement 5:Other inputs Jaribu hapo kuchanganua hapo mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Inategemea na upandaji ,mfumo wa umwagiliaj na aina ya mbegu, hua inaanzia miche 2000-4000
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Hiyo n fruit end rot au ukungu kati ya hayo, kama hilo doa ni gumu ni fruit end rot ,upungufu wa calcium uweke mbolea ya CAN au yeyote yenyewe calcium , kama n rain ni fungus( ukungu) upige fungicide
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Mkuu hapo kuna mambo mawili either ni bacterial spots au bacterial spec , je kwenye majan nako kuna madoa na majan yanakuwa kama ya njano? Kama ndio ni bacterial spots
Back
Top Bottom