Recent content by mr fizo

  1. mr fizo

    JamiiForums Tanzania Juice ya miwa inayotengenezwa mitaani Mbagala , Buguruni , Kariakoo na kwingineko ipigwe marufuku , ni uchafu mtupu

    cha kwanza mi naomba mawazo yake yaeshimiwe, kwani mungu alivyomuumba binadamu akumwambia utaponea miwa, na la mwixho we ukitaka kunywa! usipotaka acha, uwezi kujua labda kipato chako akiruhusu kunywa juice ya azam embe ila jua kwamba afya ni muhimu kuliko ata utamu asante!
  2. mr fizo

    JamiiForums Tanzania Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

    kwenye iyo list tanzania sijaiona afu mi saizi nataka nidownload sa mi nipo nchi gani kati ya izo? mbona unanichanganya kisaikolojia mze baba!
  3. mr fizo

    JamiiForums Tanzania CHAKULA CHA JIONI KWENU

    dah! mwanangu umezingua yan swala kafia kwenye mtego wa nyumbani unamwangalia tu dah! amakweli majuto si mjukuu dah!
  4. mr fizo

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Mahusiano

    yan mze baba kinacho leta changamoto kubwa ni xhwala la kuto kuwa na utayari au kuto kulizika hali ya mwenzako ilivyo, maixha ya sasa wanawake wengi wamejawa na tamaa sana za kupata watu wenye pesa nyingi ndo unakuta baada ya sikuchache tu wamewaacha wapenzi wao wa mwanzo na kuanza mausiana mapya
  5. mr fizo

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

    ila ndo isiwe chachu ya kuwatenga wazee kwenye jamii zetu kwa kuzania ni wachawi kuweni makini sana jaman!
  6. mr fizo

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

    ila naomba isiwe ndo chachu ya kuwatenga wazee kwenye jamii zetu kwa kuzania ni wachawi kuweni makini sana!
  7. mr fizo

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa Askofu Josephat Gwajima amefariki

    shida kweli
  8. mr fizo

    JamiiForums Tanzania Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    nazani izo containers zitakuwa na magendo kwanini akataze TRA kupiga mnada?
Back
Top Bottom