Changamoto za Mahusiano

Changamoto za Mahusiano

Soso J

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
1,976
Reaction score
1,224
Kuanzisha uhusiano mpya inategemea na hali ya utayari wa watu wawili.Unakuta mtu kweli anahitaji kuwa na mpenzi fulani aje ku hata mchumba mumu au mke hapo kuwa na uhusiano ni gharama lakini its worth something sababu mtu yupo tayari kuendeleza huo uhusiano.Tatizo linakuja pale ambapo mtu anatafuta mpenzi ili afanye comparison kwa yule alienae.Mfano: Unakua mwanaume ana mpenzi lakini anaona kama bado anatakiwa aendelee kuchagua vile, sasa wakati akiwa katika huo uhusiano mpya anakutana na mapungufu kama ya kule mwanzo au zaidi au haelewi sasa yupi ni yupi,mwisho wake ndio huo inakua gharama kwake kwani anaweza kupunguza upendo pande zote mbili na mwishowe akawaacha hata hao wawili na kuendelea kuanzisha uhusiano mpya..
Mimi nimeshaona mtu fulani alikua anaendela ku mess around here and there mwishowe ikamgharimu kuanza upya.Kwa kweli inaudhi kama hujaona mtu ana speed mwanzoni kwenye certan r/ship mwishowe haonekani...hayo ndio wanaleta gharama kubwa kuzidi ya kawaida kwenye mahusiano.Ni kama mbio za hiari vile hazina malipo...
Wewe Umekutana na changamoto zipi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
yan mze baba kinacho leta changamoto kubwa ni xhwala la kuto kuwa na utayari au kuto kulizika hali ya mwenzako ilivyo, maixha ya sasa wanawake wengi wamejawa na tamaa sana za kupata watu wenye pesa nyingi ndo unakuta baada ya sikuchache tu wamewaacha wapenzi wao wa mwanzo na kuanza mausiana mapya
 
Back
Top Bottom