Recent content by Mr fantastic_

  1. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Kwako wewe mkuu simu Bora ni ile inayo pokea update tu pekee?
  2. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Sahihi kabisa aya mambo tunayajuwa sisi wachache tunao juwa simu Infinix hot 60 pro ni Bora kuliko Samsung a series nyingi .
  3. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Ukipata infinix hot 60 pro + hapo umepata simu sasa hacha na uchafu hizo Samsung a14
  4. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Una nunua simu ya milioni Moja sasa hizo ni akili au matope
  5. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Ewaaaah ndio hivyo kabisa kwa tunao juwa simu infinix hot 60 pro + inazidi a series nyingi sana ni simu nzuri sana kwa bei hiyo binafsi hata Mimi ningefanya chaguzi kama ya jamaa hapo , Hiyo infinix ni nzuri sana kuanzia perfomance, sipidi Hadi camera 🔥 Anae chukuwa Samsung a 14 anaacha...
  6. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Haya njoo kwenye point simu gani Bora ?
  7. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Hazifanani infinix hiyo ni Bora zaidi kwa Kila kitu kuanzia perfomance,sipidi mpaka camera🔥. Samsung a series anacho mzidi infinix hot 60 ni ndroid update ya haraka bhasi.
  8. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Chaguo sahihi kabisa kwa bei yake hiyo simu nzuri sana Samsung a 14 afiki hapo hata robo kuanzia perfomance, sipidi Hadi camera🔥.
  9. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Mkuu utakuwa Bado aujui simu nakwambia Mimi siongelei ushabiki Samsung Kali ni note series na s series ila hizi a series nyingi zinazidiwa na Tecno na infinix
  10. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Hiyo infinix hot 60 pro inazidi hizo Samsung a series nyingi.
  11. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Ni hapo tu ndo Samsung a series zinamzidi infinix lakini Mimi siwezi acha hiyo infinix ni hatari unyama kwa tunao juwa simu🔥
  12. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

    Una Una nondo za hatari nimekusoma vizuri kuanzia mwanzo safi kabisa mashallah🌹
  13. Mr fantastic_

    JamiiForums Tanzania Marais wa Tanzania ambao Hawajaacha Legacy Yoyote

    Hili jambo ata askofu gwajima Alisha sema dini ni kitu cha hatari sana.
Back
Top Bottom