Recent content by Mr. Escrow

  1. M

    CHADEMA na Wanawake!

    CHADEMA means: CHAMA cha DEAL kwa watu wa Moshi na Arusha tu.
  2. M

    Mimea hatari ya kichawi

    Hapana, sio mgeni sana. Ila mara nyingi huwa visitor tu. Nimekuwa nafuatiria mada nyingi zikiwemo zako. Asante
  3. M

    Mimea hatari ya kichawi

    Asante sana mkuu. Nasubiri
  4. M

    Mimea hatari ya kichawi

    Asante mkuu, bt tafadhari niambie uko wapi hata kwa inbox coz mie pia niko mbali bt nitakuwa Tz soon kwa mapumziko
  5. M

    Mimea hatari ya kichawi

    Nitakupataje ndugu Mshana? Upo hapa Tz au huko mbali? Nakuhitaji sana kwa msaada wa kuponywa na kukingwa kilozilozi. Msaada wako tafadhari. Maana haya mambo yapo na wapo kwa ajili ya kusumbua watu tu! Tafadhali nipe njia mmbadara ya kuwasiliana nawe mkuu. Dawa ya moto ni moto tu mengine ni...
  6. M

    CCM dhambi ya ubaguzi imeanza kuwatafuna, very soon watajizika wenyewe

    Mi nafikiri dhambi ya ubaguzi ipo ukawa. Hebu tumia akili ndogo tu ya nyumbu, 96% ya viongozi waandamizi wa ukawa ni WANAMATAMBIKO DECEMBER.
  7. M

    Sasa nimeelewa hoja/shida ya wana-UKAWA

    Kwa nini haya mabadiliko yanatafutwa na wana kaskazini tu! Lowasa, Mbowe, Mbatia na top management yote ni toka huko. Maalimu Sefu yupo kama ngazi tu. Au watu wa moshi na arusha ndo watu pekee wenye uchungu na nchi hii?!!
  8. M

    Wakala wa CHADEMA anayefanikiwa kazi aliyotumwa kuiangusha CCM

    ... kuna moshi mkubwa sana unafuka mahali, tuvute subira, mengi yanakuja.
  9. M

    Wakala wa CHADEMA anayefanikiwa kazi aliyotumwa kuiangusha CCM

    Niliwahi kuhisi hili, na Jk anaujua mchezo wote unaoendelea, ile kumtosa El dodoma ilikuwa geresha tu, ni wamoja na wanashirikiana kwa siri sana kuiangusha ccm. Hebu jiulize kwa nini wale wazee walomchagua pombe walikosa ushirikiano wa kutosha toka vyombo vya usalama?
  10. M

    Majibu tata kutoka kwa Rais Kikwete kuhusu na Sakata la Tegeta Escrow

    Inawezekana alikuwa anashangaa jinsi walivyokuwa wanataka kuwawajibisha watu wengine wakati wanajua Jizi kuu ni yeye
Back
Top Bottom